Ni ubongo uliojaa makamasi tu ndiyo unaweza kuamini kuwa Marumo Galants FC ni Bora kuliko Yanga SC

Ni ubongo uliojaa makamasi tu ndiyo unaweza kuamini kuwa Marumo Galants FC ni Bora kuliko Yanga SC

Caesar14 said:
Bahlabane ba Ntwa..
Kwako Carrasco putinn mitambo ipo Sawa nadhani unanipata kwa uzuri kabisa.
Intsha yaseLimpopo izokwenza into embi kakhulu kubantu

Abemi kufuneka bazilungiselele ukufa okumasikizi
BAHLABANE BA NTWA BA UTOPOLO
😂😂🤔
Carrasco putinn bafwethu yehlisani istress lezi ezethu ziphelele sizobalalisa baze bamangale sebenzisa isiSwahili abasizwa
 
Kuwa na akili basi kidogo, ningezitaja hizo haudhani hoja yangu isingekuwa rahisi kueleweka? Ngoja basi niitaje Manchester City kabisa au Mamelodi Sundowns ni kongwe kuliko Marumo. SMH.
Pole sana kwa kupaniki ila huu ndiyo muda thabiti wa wewe kuwa mzalendo ukaishangilie yanga.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Napenda kusema tanzania hakuna wachambuzi WA Mpira .kwanza hata wachezaji WA Africa na timu shiriki hata hawazijui Hadi pale timu itakapo kutana na timu za tanzania ndio hao mbio mbio kwenda kusoma google na kuja kuleta kama takwimu

Hiyo marumo gallant ni prison ya south Africa ni timu ya kukamia tu

Sitoshangaa kama wakidundwa goli tatu na magodoro fc

Magodoro fc msimu huu wameokota pochi wadau ,tuacheni utani

Kimasihara wanaenda fainali hawa mbuzi
 
Umeandika fact sana japokua umeandika kwa hisia na majonzi sana, pole sana Ila nakushauri njoo Yanga tule bata.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
"Mfa maji aishi kutapatapa" hayo ni maneno machache yenye maana kubwa sana.

Nimewatazama vizuri sana marumo Fc, kwa kweli Wana mpira wakawaida tu Tena mpira unaochezwa na Yanga ni Bora zaidi kuliko wao Marumo.

Marumo Wanapambwa na wachambuzi wasiojua mpira na kufanya waonekane wao ni Bora sana kuliko Yanga.

Gemu ya Marumo waliyocheza na Mamelod walipoteza kwa Goli mbili kwa sifuri, Tena mamelod hawakuchezesha wachezaji wao waandamizi ndani ya timu na huo ndio umekua mchezo wa mamelod kupumnzisha wachezaji.

Marumo fc, wameshashuka daraja kilichobaki ni kukamilisha ratiba tu katika ligi yao huko ya south Africa.
Laiti Kama marumo wangewafunga mamelod ingekuwa ni habari kubwa sana, na hiyo ingetumika na kila mchambuzi wa Tanzania kuwatisha yanga.

Yanga Ina nafasi kubwa sana ya kushinda na kufika fainali kutokana na kikosi kilichopo chenye ubora.

Wachambuzi wasiojua mpira (hawana statistics) sijui huwa wanapata wapi nguvu ya kusifia timu utasema ni Barcelona au Real Madrid.

Endeleeni kusifia timu na kuacha kutazama au kuukubali ubora wa Yanga kwa kuwa tu, timu yenu pendwa imepigwa na imetolewa kwenye michuano ya kimataifa.

YANGA IS UNSTOPPABLE NA ITACHUKUA KOMBE LA CAF CONFIDERATION
Kimeeleweka
 
Back
Top Bottom