Inaudhi na inakera sanaPole ndugu,unadhani Kuna media hapa.
Kuna punda-vumilia.
Ndiyo maana hazina mvuto media za bongoMkuu Tanzania hakuna media independent Kuna state media capture hivyo usitarajie makubwa kwenye media zetu zaidi tegemea matangazo ya kamari
Wametishwa hawatapewa bahasha na matangazo
Wamefungwa pingu
Piga moyo konde. Tutafika.Kabla ya kuvishambulia tuambie kwanza mchango wako wa kiuchumi kwny hivyo vyombo vya habari ?
Wilbroad Slaa mwenyewe katelekezwa njiani baada ya kuipiga Jeki Chadema juzi kati pale Temeke wamemtelekeza wakati walimuahidi tuko pamoja na watazunguka nae Mikoa yote kwny operation 255
Ulaya mbali bora kuzaliwa ngamia hapo SomaliaKesi iliyofunguliwa na jopo la wanasheria wazalendo kule Mbeya kupinga mkataba wa bandari kila mtanzania ana hamu ya kufahamu nini kitaendelea mahakamani katika kesi hiyo.
Lkn cha kushangaza media za hapa bongo zimekaa kimchongo, kichawa na kinafiki badala ya kujipanga na kurusha kesi hiyo moja kwa moja.
Nchi hii Ina mambo ya kijinga kuanzia ikulu mpk mitaani.
Bora ningezaliwa mbwa Ulaya.