Ni uchawi ama hisia! Mahusiano kati ya baba na binti yametamalaki Jijiji Dar es Salaam

Ulitaka tu kuongelea bikra huna lolote
Am serious Khantwe hakuna wa kunizuia kuongea kuhusu Bikira.

Hata hivyo Bikira ni muhimu sana wajameni😁😁😁 Wanaume tukitaka heshima na Amani ya ukweli katika ndoa ZETU tuhakikishe tunawaoa wanawake ambao NI Bikira. Ukioa Mwanamke ambae sio bikira basi Jua umeoa Mwanamke ambae sio MKE wako.

Likud what are you talking about? MKE Bikira unampata wapi SASA hivi?

Kwa mfumo wa ndoa za kiislamu inawezekana but Kwa mfumo wa ndoa za kikristo ni.vigumu mno
 
Je kuna faida zipi kufanya hvyo? (Kulala na bikra)
 
Huko ni ushuani ila kwa uswahilin hiz nyumba za kupanga zilivyojengwa kwa ramani yake watoto wanaanzana wao kwa wao hata ndoa nyingi zimekuwa changamoto kwa sababu vyumba vinaangaliana, mabachela siyo watu wazuri
 
Kwani kuna ubaya gani kusoma huu uzi huku nikisindikizwa na ubwabwa na maharage?
 
Vibinti vya kisasa vinakula matango bado vidogo, vikikua vimeshazoea Sasa wewe ukivipa ndizi unahic vitashiba Hadi unashangaa😂😂😂...ni lugha ya picha tu ila waswahili wanasema"wewe unasubir maembe yaive lkn wenzio wanayala na chumvi"
 
Unaongelea hizi hizi bikira zinazotolewa kwa chips kuku na pepsi big?
 
Miaka 12 mtoto tayari kishasanuliwa
 
Upuuzi mtupu. Dah kama matajiri watajua masikini wanawazushia haya sijui itakuwaje.
 
Ulipoingiza mambo ya uchawi basi nikajua hii ni nonsense kama nonsense zingine!
 
Aisee..duniani kuna mambo tena mambo ya utajiri yana siri kubwa sana
 
Story za vijiweni unaleta huku mkuu?kuna ushahidi gani kwenye hii hadithi yako?
 
Story za vijiweni unaleta huku mkuu?kuna ushahidi gani kwenye hii hadithi yako?
Sijawahi ona MTU ana ulizia evidence in a very smart way like you
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…