Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kwa hiyo unataka kaka zetu wabadili dini wapate bikra au unamaanisha nini?Am serious Khantwe hakuna wa kunizuia kuongea kuhusu Bikira.
Hata hivyo Bikira ni muhimu sana wajameni😁😁😁 Wanaume tukitaka heshima na Amani ya ukweli katika ndoa ZETU tuhakikishe tunawaoa wanawake ambao NI Bikira. Ukioa Mwanamke ambae sio bikira basi Jua umeoa Mwanamke ambae sio MKE wako.
Likud what are you talking about? MKE Bikira unampata wapi SASA hivi?
Kwa mfumo wa ndoa za kiislamu inawezekana but Kwa mfumo wa ndoa za kikristo ni.vigumu mno