Ni uchawi ama hisia! Mahusiano kati ya baba na binti yametamalaki Jijiji Dar es Salaam

Kwa hiyo unataka kaka zetu wabadili dini wapate bikra au unamaanisha nini?
 
Kwa hiyo wewe umetoka wapi? Umeumbwa na Nani?
Mimi ni zao la ngono waliyofanya baba na mama yangu....nikazaliwa kwa process kama viumbe wengine wote wether ni mbuzi,ng'ombe,samaki,etc..

Baba yangu na mama yangu wasingefanya ngono nisingetokea hapa,na nimeletwa bila hiyari yangu mimi,kama ningekua na uhuru wa kuchagua,nisingekaa nije huku duniani by whatever means neccesary maana dunia ni sehemu ya kipumbavu sana!
 
Okay so maoni yako ni nini kuhusu vitu kama Jua, mwezi, maji, hewa, Moto n.k. Vimetoka wapi?
 
Reactions: Cyb
Kwa nini Incest haina watetezi kama ushoga au ndoa za utotoni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…