Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
" Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison amepigwa msumari.

Achana na misumari. Hakuna kitu kinajua kumu humble mtu kama misumari. Majuzi Morrison ambae aliondoka Yanga kwa nyodo za kiwango cha Stigla Goji alinukuliwa na gazeti la Mwanaspoti akiwaelezea Yanga kwa nidhamu ya hali ya juu sana. " Yanga ni timu nzuri sana, na wanafanya vizuri kwenye mechi zao, wamejipanga na wanaonekana wamedhamiria kuubeba ubingwa wa ligi. Mpira sio ugomvi , japo kwa sasa nipo Simba lakini Yanga wapo vizuri sana kusema ukweli" Mwisho wa kunukuu...

Morrison aliondoka Yanga kwa nyodo za hali ya juu sana jambo lililo waudhi wanayanga wengi. Huenda wazee wa kamati ya ufundi wa Yanga wame amua kumsogezea jinni au wanachama kindakindaki wa Yanga wenye ilmu ya uchawi wameamua wao wenyewe wakiwa na akili zao timamu na bila ya kushurutishwa na mtu yoyote, kumrushia Morrison maradhi ya ngiri...

Morrison nenda kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa ukatolewe hilo pepo ulilo tumiwa.
 
Ndio huyu au naona kama anatu deshi hivi au?

 
Kudadeki Wana kulifind mwana kulipata....mwaga mboga Ni mwage ugali....weka ugoko niweke chumaaa......chama la wanaa halina masihara
 
Yanga sasa si waloge wawe mabingwa wa Afrika kabisa, mbona wanaishia kufanya vitu vya kitoto tu, anyway ndio tabia za wachawi zilivyo siku zote hawapendi maendeleo ya wengine kwasababu wao wameshazoea kuishi kwenye vibanda vilivyochoka.
 
Back
Top Bottom