Ipananga kulwa
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 573
- 293
Tulia ww mpira usio na magili hauna tafaut na balubu isiowakaHope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Mkuu...NADHANI ULIKUWA HUJUI MACHUNGU YA MOU KUPAKI BASI...ULIKUWA UNASIKIA BARCA WANALALAMIKA SASA LEO IMEKUKUTA. HII MBINU INA MACHUNGU SANAAAAA, UNAWEZA UKAPIGA TEKE TV...poleeee.Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Washabiki wa Man U hawajawahi kuufurahia mpira zaidi ya magoli ya kubahatisha tu.Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Umeahindwa kuwa hata kocha wa mapumbu fc utamshaur nn morihno,mbinu zinazoleta usindi ndo za zamsingi hayo yako peleka choon.kakojoe kalaleHope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Ivi niwaulize mashabiki wa Man U mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Man U pamoja na usajili wa pesa nyiiingi bado ni timu ya hovyo hovyo inayofunga magoli ya kulazimisha sana na kubahatisha.Acha ushamba arsenal wanachezea mpira man united wanacheza mpira hiyo ndo tofauti