Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

Brazil ilifungwa hivi hivi 2014 kwao na Ujerumani 7 bila. Wao wacheze vizuri halafu wenzao washinde. Alime mwingne, ale mwingine,
 
Arsena kushoto manu kulia. Haya sasa
3072e4022d1da231a1f7213c51f29e4c.jpg
 
Hope mpo swalama,

Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.

Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.

Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Wee uli enjoy kufungwa 3-1 na possession mkaongoza
 
Kwa vyoyote vile arsenal ilitakiwa ife Kwa sababu mbinu zilizo tumika kwenye mechi hiyo wasinge ziweza pale ilitumika Shule tupu
Ukiniambia..yule aliyefanikisha kumchomoa de gea Atletico Madrid na kumfikisha Old Traford ndo mtu pekee anayestahili hongera..The rest ni magwangala tu!
 
Okocha played well, but never played for top teams because he never scored as much as wanted
 
We fight to make point[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aisee ingawa Utd tulishinda ile mechi ila ukweli tuseme hakuna mabadiliko makubwa tutayaona kwa morinho kwa mpira anaojaribu kutuleletea OT. tumeoneshwa ni kiasi gani tunaweza kufungika kirahisi, ni umakini tu arsenal walikosa pamoja na kipa wetu kuamka vizuri siku hiyo. Hata kama tuliwafunga arsenal aisee ila jamaa wana attacking moja ya hatari sana ni miaka nilikuwa sijawashuhudia mbele wakiwa na ubora kama ule... akicheza ule mpira na Man city sijui tutaachwaje maana wale ni bora wakafungwa na timu yoyote EPL ila sio UTD

Mkuu Arsenal waliweza kucheza kama vile kwa sababu waliachiwa kucheza, usitishike na attacking yao, mou angetumia approach nyengine usingewaona wakiwa na attack kama ile.

Tatizo la mourinho akikutana na rivals ndio anapwaya kabisa, anapenda kusababisha frustration kwa opponents, na yeye ndio anachukua advantage hapo.

Na amefanikiwa kuleta hio fruistration kwa Arsenal players.... Kupiga shuti hamsini on target halafu unapata goli 1 huwa unapata malaria bana 😀
 
Mashabiki wa Mama esta utd hapo wa nafurahia tu sababu wameshinda ila wangefungwa ndio ungeona povu lao sasa

Kwao morinyo akipak basi na wa kashinda ni kocha mzuri, akipak basi akafungwa wanasema mbaya na matusi yote atapewa
Umeandika kwa hasira sababu huipendi MUFC! Utakoma.
 
Tunapaki basi vipi huku tumewaacha magoli mengi timuzote ukiacha city
 
Hope mpo swalama,

Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.

Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.

Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
"If you think there is very attacking football team then you have to know that there is also a very defending football team - By Jose Mourinho
 
Hope mpo swalama,

Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.

Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.

Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Mkuu wazee wa miguvu
 
Mkuu, bila shaka umekuwa "entertained" na game ya leo dhidi ya Southampton.

Arsenal walipiga pasi sana na kuambulia pointi moja.
 
Back
Top Bottom