Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee uli enjoy kufungwa 3-1 na possession mkaongozaHope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Ukiniambia..yule aliyefanikisha kumchomoa de gea Atletico Madrid na kumfikisha Old Traford ndo mtu pekee anayestahili hongera..The rest ni magwangala tu!Kwa vyoyote vile arsenal ilitakiwa ife Kwa sababu mbinu zilizo tumika kwenye mechi hiyo wasinge ziweza pale ilitumika Shule tupu
Aisee ingawa Utd tulishinda ile mechi ila ukweli tuseme hakuna mabadiliko makubwa tutayaona kwa morinho kwa mpira anaojaribu kutuleletea OT. tumeoneshwa ni kiasi gani tunaweza kufungika kirahisi, ni umakini tu arsenal walikosa pamoja na kipa wetu kuamka vizuri siku hiyo. Hata kama tuliwafunga arsenal aisee ila jamaa wana attacking moja ya hatari sana ni miaka nilikuwa sijawashuhudia mbele wakiwa na ubora kama ule... akicheza ule mpira na Man city sijui tutaachwaje maana wale ni bora wakafungwa na timu yoyote EPL ila sio UTD
Una uhakika ?Man u wnajifariji mpira magoli ila kiukweli mpira hawajui, trh 10 watapaki basi si la sayar hii
Umeandika kwa hasira sababu huipendi MUFC! Utakoma.Mashabiki wa Mama esta utd hapo wa nafurahia tu sababu wameshinda ila wangefungwa ndio ungeona povu lao sasa
Kwao morinyo akipak basi na wa kashinda ni kocha mzuri, akipak basi akafungwa wanasema mbaya na matusi yote atapewa
"If you think there is very attacking football team then you have to know that there is also a very defending football team - By Jose MourinhoHope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Mkuu wazee wa miguvuHope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Mkuu, bila shaka umekuwa "entertained" na game ya leo dhidi ya Southampton.Hope mpo swalama,
Kwa mlioangalia mpira nadhani mnaelewa mpira mmbovu manchester united alioucheza licha ya kushinda.
Timu kubwa kama man c ya kupaki basi na kulimg'oa matairi mda wote ule.
Sometime Arsenal inafungwa ila mpira mzuri inaocheza kama ipo Lamasia unawafanya mashabiki wake tubaki.
Hivi niwaulize mashabiki wa Man Utd mshawahigi kuinjoy mpira mzuri kweli??!
Hahahahhaha poa bhana ngoja tuone usiku mtaambulia nn kwa guardiolaMkuu, bila shaka umekuwa "entertained" na game ya leo dhidi ya Southampton.
Arsenal walipiga pasi sana na kuambulia pointi moja.
Mimi si Man Utd, ila nawafurahia watu wanaochukulia eti kujua mpira ni kupiga pasi nyingi!!!!! Hata kama wanafungwa!!!!Hahahahhaha poa bhana ngoja tuone usiku mtaambulia nn kwa guardiola
Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Mpira burudani bana,sio vitaMimi si Man Utd, ila nawafurahia watu wanaochukulia eti kujua mpira ni kupiga pasi nyingi!!!!! Hata kama wanafungwa!!!!