Ni udhaifu mkubwa sana Man Utd kupaki basi dakika 80 nzima.

Kupigwa counter attack ni upuuzi sana!Mlikuwa mmeweka akili zenu wapi! Hahahahahaaa!Yule babu Wenger atakuwa amekonda as twice as much kwa huzuni.
 
Homa ya Derby inapanda,na Pogba jana alishinda anaomba dua wachezaji muhim wa Mancity waumie ili wakose mechi...
Kumbe ukimuombea adui njaa, inaanza na ww
 
Mashabiki wa Mama esta utd hapo wa nafurahia tu sababu wameshinda ila wangefungwa ndio ungeona povu lao sasa

Kwao morinyo akipak basi na wa kashinda ni kocha mzuri, akipak basi akafungwa wanasema mbaya na matusi yote atapewa
 
Ndio tulishainjoi na jana tu tumeinjoi 3 kwa 1
 
Mashabiki wa Mama esta utd hapo wa nafurahia tu sababu wameshinda ila wangefungwa ndio ungeona povu lao sasa

Kwao morinyo akipak basi na wa kashinda ni kocha mzuri, akipak basi akafungwa wanasema mbaya na matusi yote atapewa
Hata mashabiki wa asma fc wamefurah si wamecheza soka zuri ila tumewakojoza 3
 
Mpira magoli Mzee....hata kama ball possession ingesoma 0.5% kwa 95.5% ila kama magoli yana patkana hamna shida...
Hata kwenye record haiwekwi ball possession bali inahesabika tarehe hiyo arsenal kala kichapo cha tatu moja kutoka kwa vijana makinda wenye umakini wa hali ya juu wa joseee morinyo...

Istoshe Wenger kumfunga morinyo ni ndoto....hata morinyo angepewa yanga alaf wacheze na arsenal bado Wenger angekula kichapo tuuu....

Ngoja tukajipongeze jpl ya Leo....
 
Mkuu inaonekana umepanic, mara Man Utd, mara Man c, sijakuelewa unamaanisha timu gani. Anyway elewa kwamba timu haijawahi kuchukua kombe kwa kupiga Pasi nyingi, mpira magoli ndugu.
 
Mpira anacheza Man City na matokeo twayaona. Wewe endelea kuburudisha, wenzio wanachukua matokeo.
 
Nashangaa kuna watu wamekupa like kwa hiki ulichoandika, nyie aseno mmesababisha ushindi wa liver wa goli tano hauzungumziwi pumbavu nyie
 
Nyie endeleeni kufurahia burudani sisi tunasonga mbele
 
toka ferguson awepo na mpaka anaondoka ile ndio aina ya mpira aliotuachia
wenyew tunaenjoi vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…