Ni ugaidi Jeshi kupiga Wananchi wasio na hatia kisa wanaonesha hasira za mwenzao/wenzao kudhuriwa na mtu/kikundi fulani

Hii tabia inakera sana Kwa Wanajeshi wasiojielewa hapa Tanzania.

Ikomeshwe mara Moja,huku ni kukosa nidhamu na kulea upuuzi.

Hakuna aliye Juu ya sheria
 
Tutazidi kuwatandika mpka mseme kwanini mnafuga waahalifu lazima mpate displini ili siku zingine mkiona ugomvi
 
Wacha wapigwe na tena wapigwe sana
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Askari wamekosa kazi wamebaki kulewa bar na kupigana na raia.

CDF aione hii vinginevyo itachochea uhasama kati ya wananchi na jeshi kisa tu kuna wajinga wachache wanataka kutumia jeshi vibaya
 
Mi nashauri wanajeshi ambao wanapiga raia.. Au kusumbua watu kwenye bar za Kawe watafutiwe mechi ya kirafiki..

Hapa Afrika kuna mapigano kati ya Ethiopia na Waasi.. basi wachukuliwe Wanajeshi kama 500 hapo Lugalo wapelekwe Ethiopia upande wa Waasi wakae porini kwa mwezi mmoja..

Wachapane na Serikali ya Ethiopia.. kisha warudi tuhesabu walio hai na waliopotelea kwenye mechi ...
 
Askari wamekosa kazi wamebaki kulewa bar na kupigana na raia.

CDF aione hii vinginevyo itachochea uhasama kati ya wananchi na jeshi kisa tu kuna wajinga wachache wanataka kutumia jeshi vibaya
CDF ambao Kazi Yao kupokea maelekezo ya ccm
 
Serikali ya CCM ndiyo inalea uwo ujinga hapa nchini.
 
Inabidi wamwagiwe petrol ⛽️ uone watakavyo tia huruma
 
Tutazidi kuwatandika mpka mseme kwanini mnafuga waahalifu lazima mpate displini ili siku zingine mkiona ugomvi
Kama wwe kweli ni Mwanajeshi,siku zako zakua Jeshin zinahesabikakuanzia sasa!!
 
Ata magerezani mmoja akizingua wakizchapa mule ndani wote mtakula mkongo'oto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…