Ni ugonjwa gani huu unitesao?

Ni ugonjwa gani huu unitesao?

Kunywa maji mengi halafu toka nje ya Dar walau kwa siku 5 tu..kakae sehemu za bush mbali na kelele na mishemishe za sunia
Daah hapo inamana niombe likizo duh kazi za waindi hizi!
 
Tuliza mawazo ndugu...wala usikae kufikiria swala hilo pale unapoanza kuhisi hali hiyo..Utakuwa umeintegrate sana ugonjwa akilini,yan ugonjwa umeuhamishia akilini kuliko sehemu husika...relax, find a place,have a good time
 
unalo tatizo hili hapo
Fatigue
(also called exhaustion, tiredness, languidness, languor, lassitude, and listlessness) is a subjective feeling of tiredness which is distinct from weakness, and has a gradual onset. Unlike weakness, fatigue can be alleviated by periods of rest. Fatigue can have physical or mental causes.
Naomba tiba yake ndugu
 
Duu mtani umetema yai tupu
 
MKUU pole sana, cheki damu, kisukari, Tezi dume, kisonono, kaswende dheni kunywa maji mengi, njoo Moro uvute SHISHA, utapona maana dar inakatazwa.
 
pole sana..
tatizo likianza huwa unajijengea hofu fulani kichwani kwamba unaumwa..
siku zinavozidi ndo unazidi kuona kwamba unaumwa..
halafu jinsi unavolichukulia uzito tatizo na kuliona kubwa ndivo linavokua...

tuseme ni tatizo la saikolojia au mindset
ambalo hata mimi linanipataga mara nyingi kwa sababu ni mtu ambae nina hofu mara kwa mara..
cha kufanya....
likatae tatizo!
usilichukulie uzito kama unaolichukulia maana litazidi ( ww kula tu) maana mimi ilifika kipindi nikawa natapika kabisa.
pia hayo mawàzo ya kutokula yakishatoka usikubali kuyarudia tena..

kingine jichangamshe hata kama mwili hautaki toka nje piga story
itafika mahala yataisha tu..

hakuna jambo kubwa Machoni pa Mungu!
yataisha tu.

pole sana
 
sa

Asante Princess
 
Mara kadhaa matatizo kama hayo chanzo chake huwa ni ktk ubongo hivyo jaribu kutafuta tiba kwa wataalamu wa mambo hayo.
 
Habarini wana JF,
Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa.

Mwili wangu unachoka kuliko maelezo, Sisikii hamu ya kula,
Nimeshaenda fanya vipimo mbalimbali ikiwemo ecg na echo sound kuangalia mwenendo wa moyo lakini uko sawa.

Inaweza kua tatizo gani hili? Naombeni msaada please.
Mwili hauchemki, Kichwa hakiumi,
Nishapima maleria hola, uti hola,

Ila najisikia vibaya sana. nashindwa hata kwenda kazini,
mda mwingine nahisi nataka kudondoka, Ushauri please
ahsanteni wapendwa.
Njoo dm tuongee kidogo Afu tujue tatizo NB : TUTAZUNGUMZA TU ILI NIKUPE USHAURI AU NIKUPE MSAADA WA VIPIMO Ambavyo vinaweza kukusaidia kugundua tatizo ulilo nalo ::::::
 
hata mm hili tatizo ninalo yani nachoka sana nimeenda regency nimepima kipimo cha ech,na ecg nipo vizr ila nilipatika minyoo ya H plyri na damu imezidi ip 18.5 ,bado nateseka sana nachok sana ,hata kazin nashindwa kwenda yan nishida kwakwel mungu tu asaaidie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom