Nimeshapata jibu kama unafanya kazi na hiyo kabila fanya kama nilivyokuelekeza japo siku 3Daah hapo inamana niombe likizo duh kazi za waindi hizi!
Naomba tiba yake nduguunalo tatizo hili hapo
Fatigue (also called exhaustion, tiredness, languidness, languor, lassitude, and listlessness) is a subjective feeling of tiredness which is distinct from weakness, and has a gradual onset. Unlike weakness, fatigue can be alleviated by periods of rest. Fatigue can have physical or mental causes.
tiba yake unahitajika kupata muda mwingi wa kumpumzika na kupumzisha akili zaidi.... ila unge google mkuu ujisomee pole rafikiNaomba tiba yake ndugu
Duu mtani umetema yai tupuunalo tatizo hili hapo
Fatigue (also called exhaustion, tiredness, languidness, languor, lassitude, and listlessness) is a subjective feeling of tiredness which is distinct from weakness, and has a gradual onset. Unlike weakness, fatigue can be alleviated by periods of rest. Fatigue can have physical or mental causes.
napiga ya nne sasaDuu mtani umetema yai tupu
Ntakuya unifundisenapiga ya nne sasa
Its simple sana tafuta wajuvi wamambo ya rohon ungekuwa dar ningekusaidiaHow is it treated? Nahisi kufa jamani.
Asante Princesspole sana..
tatizo likianza huwa unajijengea hofu fulani kichwani kwamba unaumwa..
siku zinavozidi ndo unazidi kuona kwamba unaumwa..
halafu jinsi unavolichukulia uzito tatizo na kuliona kubwa ndivo linavokua...
tuseme ni tatizo la saikolojia au mindset
ambalo hata mimi linanipataga mara nyingi kwa sababu ni mtu ambae nina hofu mara kwa mara..
cha kufanya....
likatae tatizo!
usilichukulie uzito kama unaolichukulia maana litazidi ( ww kula tu) maana mimi ilifika kipindi nikawa natapika kabisa.
pia hayo mawàzo ya kutokula yakishatoka usikubali kuyarudia tena..
kingine jichangamshe hata kama mwili hautaki toka nje piga story
itafika mahala yataisha tu..
hakuna jambo kubwa Machoni pa Mungu!
yataisha tu.
pole sana
Njoo dm tuongee kidogo Afu tujue tatizo NB : TUTAZUNGUMZA TU ILI NIKUPE USHAURI AU NIKUPE MSAADA WA VIPIMO Ambavyo vinaweza kukusaidia kugundua tatizo ulilo nalo ::::::Habarini wana JF,
Ni muda wa mwezi sasa mwenzenu nimekua nikisumbuliwa na maradhi ambayo kwakweli sijui ni nini hasa.
Mwili wangu unachoka kuliko maelezo, Sisikii hamu ya kula,
Nimeshaenda fanya vipimo mbalimbali ikiwemo ecg na echo sound kuangalia mwenendo wa moyo lakini uko sawa.
Inaweza kua tatizo gani hili? Naombeni msaada please.
Mwili hauchemki, Kichwa hakiumi,
Nishapima maleria hola, uti hola,
Ila najisikia vibaya sana. nashindwa hata kwenda kazini,
mda mwingine nahisi nataka kudondoka, Ushauri please
ahsanteni wapendwa.