bachelor sugu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 2,689
- 3,646
Km bado linakusumbua jaribu kutumia vidonge viitwavyo Neuro Support maana mm nilikuwa hivyohivyo yaani hadi muda mwingine nahisi kupepesuka na nikitembea ni mwendo wa Zigzag yaani sina nguvu but nilitumia hivyo vidogo kwa lengo la kitu kingine but nikajikuta nimekuwa na nguvu za kutosha ndipo nikagundua kuwa vimenisaidia ktk hilo.hata mm hili tatizo ninalo yani nachoka sana nimeenda regency nimepima kipimo cha ech,na ecg nipo vizr ila nilipatika minyoo ya H plyri na damu imezidi ip 18.5 ,bado nateseka sana nachok sana ,hata kazin nashindwa kwenda yan nishida kwakwel mungu tu asaaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Havina madhara yoyote sababu ni NUTRITIONAL SUPPLEMENT MEDICINE unaweza kutumia japo kuanzia miezi2 naamini utaleta mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app