Ni ugonjwa gani huu?

tezi zipi zimevimba (taja sehem zote unahisi tezi zimevimba) vipi usiku jasho linakutokaa?? huo muwasho umeleta vipele?? vipi maumivu ya Joint yanatokea muda gani
hizo tezi zimevimba ukubwa gani yaani zinaonekana mtu akitizama au hadi apapase
 
Kitaaluma tunaita
1.swollen lymph nodes(Neck, Armpit and Groins)
2.nausea
3.Joint pain
4.Night sweats
5.Rashes
Nenda Hospitali ukapime STD Especial Hiv then upime hasa hasa na TB
 
Nilishapima Mara nne yaan mwaka mzima na mwez mmoja nikakuta npo negative sasa nashindwa kujua labda majibu hayo hayana uhakika naomba unielezee kwa undani km unauelewa kuhusu hili
 
tezi zipi zimevimba (taja sehem zote unahisi tezi zimevimba) vipi usiku jasho linakutokaa?? huo muwasho umeleta vipele?? vipi maumivu ya Joint yanatokea muda gani

hizo tezi zimevimba ukubwa gani yaani zinaonekana mtu akitizama au hadi apapase
Nyuma ya sikio la kushoto imevimba had inaonekana
 
Nilishapima Mara nne yaan mwaka mzima na mwez mmoja nikakuta npo negative sasa nashindwa kujua labda majibu hayo hayana uhakika naomba unielezee kwa undani km unauelewa kuhusu hili
Kapime uric acid
 
Mbona magonjwa mengi hivyo;
Pole sana,
anza kunywa maji mengi wakati madaktari wanasogea huku;
 
kapime ngoma
 
Pengine unafanya mzaha kututatiza lakin kumbuka wapo watu serious na wanasaidiwa humu jukwaani. Wengine tunaacha kwa dk 5-10 Ku attend wagonjwa tunaangalia huku nako kama kuna mtu ameomba afahamishwe jambo au anahitaji msaada wa matibabu. Be serious na ujielekeze kwenye jambo moja au mawili katika hilo rundo la dalili ambayo wewe unaona ndio inayokupa shida kisha tuendelee na maswali mpaka tufahamu tatizo, diagnosis ikiwezekana. Ahsante mkuu
 
Mkuu npo serious maana niliona ni vyema kuorozesha dalili ili iwe rahisi kupata msaada maana dalili ndio inampa mtaalam wa afya muongozo tafadhali npo serious mkuu nahitaji msaada wenu
 
Nilishapima Mara nne yaan mwaka mzima na mwez mmoja nikakuta npo negative sasa nashindwa kujua labda majibu hayo hayana uhakika naomba unielezee kwa undani km unauelewa kuhusu hili
polee sanaa TBumepimaa??
 
Una umri gani. ? Pruritus,night sweats,fever, bone pain ,swollen lymph nodes may be hematological malignancies. Nenda hospitali kubwa ufanye
1.FBP
2.Reticulocyte count
3.Peripheral blood smear
4.Serum protein electrophoresis
5.Bone marrow biopsy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…