Habari wana jf, mchumba wangu anatokwa na uchafu mweupe ukeni na umeganda kama mtindi lkn hautoi harufu, atakua ana ugonjwa gani na tiba yake ni nini? Pia naomba kufaham mimi naadhirika vp maana hatujatumia kinga. Ilkua kabla cjamgundua.
Ilitakiwa mchukue tahadhari mapema,ute unaotoka huko uwe mzito,unavutika nk,ilihali hauna harufu yoyote basi ni salama na hauna shida.Pia wanawake wajawazito hali hiyo ni ya kawaida kabisa,ila kuondoa wasiwasi nendeni hospitali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.