Ni uhaba wa maji Kenya au tabia tu

Ni uhaba wa maji Kenya au tabia tu

Kwahili wakenya inabidi mubadilike sio kila tamaduni ya kizungu ni ya kuiga afterall these whites are very trick wao kwa toilets zao kuna both water and tissue..TUJENGE EAST AFRICA SAFIII
 
I bet the meaning of Ustaarabu umebadilika.Danganyikans like you are some of the most Primitive souls alive.Uswahili mwingi tu umekujaa,si lingine.Otherwise umejaribu in your imaginative composition.

Kingereza mobu mcoonduni umesheheni mavi,
Dah,
Kwaiyo ukivua Boxer si inakuwanga na Mavi? Acheni uchafu mazee[emoji51][emoji51]
 
Ubaya ni kwamba mkiosha mik#nd# huwa hamuogi mwili mzima kwa zaidi ya wiki kadhaa, mnaamini uchafu huwa upo huko nyuma tu . Alafu hamjui kutumia sabuni, mkimaliza shughuli yote mnabaki na vinyesi chini ya kucha. Yaani uswahili mwingiii, baada ya hapo mnakula wali kwa kutumia vidole, tena watu kumi kwenye sinia moja!!! [emoji15] Yuuuck!
 
Hayo mambo ya kujitumbukiza vidole kwenye mkun... eti unaosha mavi, ni mila na desturi mliiga kutoka kwa waarabu, hilo sisi hatuigi.
Kwa hiyo mkikosa tissue mnasotea majani

Ova
 
Ubaya ni kwamba mkiosha mik#nd# huwa hamuogi mwili mzima kwa zaidi ya wiki kadhaa, mnaamini uchafu huwa upo huko nyuma tu . Alafu hamjui kutumia sabuni, mkimaliza shughuli yote mnabaki na vinyesi chini ya kucha. Uswahili mwingiii, baada ya hapo mnakula wali kwa kutumia vidole, tena watu kumi kwenye sinia moja. [emoji15] Yuuuck!
They literally eat each others Kinyesi while at it.😁
 
Kwa hiyo mkikosa tissue mnasotea majani

Ova

Huko kwenu mlivyo na tabu ya maji unakuta mtu anaingia chooni na kopo lenye maji kiasi ya kikombe hana tissue, maji machache kiasi hicho anajitumbukiza kidole mqundu eti anajitakasa, ukitoka hapo unamega tonge la ugali, nyie waarabu waliwaharibu....
 
Yupo dada mmoja mzur kwa muonekano, alikuja ofisini akataka huduma ya choo, akaambiwa choo kipo ila hakuna maji. Akamute kwa dakika mbili ivi, alipoona wote tupo bize na kazi akaingia kimya kimya akafanya yake then akaondoka.

Jamaa mmoja wetu akabanwa na mkojo kufika ndani anakuta dada kaweka mzigo kwenye sink alaf kasepa, kutoka kuulizia dada yuko wapi katuchafulia choo anamuona kashika kazi ya kumkatia mtu bima ya gari, jamaa amebaki hoi mana huyo hajatumia hata izo tisue mana hazipo.

Yan ameondoka na uchafu matokon na ni bonge kidogo.

Wakenya ni wachafu mnoooo.

Ukweli kipind cha joto harufu kwao ni jambo la kawaida.
 
Mapinzani yatasema tutumie toilet papers badals ya maji safi kama wakenye...... subiri mtaona ushauri wao
 
Huko kwenu mlivyo na tabu ya maji unakuta mtu anaingia chooni na kopo lenye maji kiasi ya kikombe hana tissue, maji machache kiasi hicho anajitumbukiza kidole mqundu eti anajitakasa, ukitoka hapo unamega tonge la ugali, nyie waarabu waliwaharibu....

Yote katika yote kitendo cha kutojisafisha baada ya haja kimenifanya niwaone mnanuka mavi, Dah hii kali ya Karne[emoji2][emoji2]
 
Hahaaaa nimecheka sana,ila upande wa makazi wako vizuri,maji sio shida kabisa na nyumba za kurent safiii maji na choo ndani.
One bedroom 13k hadi 20k sehemu za kawaida tu,maji,stima,garbage included.
Nyumba ina kitchen,toilet and your own balcon na sehemu yako mwenyewe ya kuanika nguo.
Kenya especially Nairobi ni smart na safi mno,huwezi linganisha na Dar asee.
 
Izi comment za wakenya zimenifanya niwe jela (banned) siku tatu.Saizi ntakuwa nawasifia tu ili nijiokoe.
 
Yote katika yote kitendo cha kutojisafisha baada ya haja kimenifanya niwaone mnanuka mavi, Dah hii kali ya Karne[emoji2][emoji2]

Hamna jinsi kopo la maji kidogo hivyo linaweza kuosha mavi yote kwenye mqundu, kucha zenu unakuta zipo nyeusi kwa ajili ya mavi ni hatari sana hatari kumsalimia Mtanzania.
 
Izi comment za wakenya zimenifanya niwe jela (banned) siku tatu.Saizi ntakuwa nawasifia tu ili nijiokoe.

Tatizo wewe mgeni ulikuja na mihemko hukujua huku kuna ustaarabu wake, ukajidanganya wewe ndiye mwenye dhamana ya kuwatusi watu, kwamba wengine hatujui jinsi ya kutukana, kwa taarifa yako mimi hapa nimewahi kula ban kwa ajili ya matusi makubwa hata zaidi ya wewe ambaye bado unajifunza.
Pambanua na kupangua hoja za wadau, wote tunakutana huku kama wana Afrika mashariki, japo utaona tukishindana humu udhani tuna chuki, lakini nje kwenye kazi zetu tuashirikiana sana hatuna chuki. Hawa Watanzania unaowaona humu wengi wapo Kenya wanapiga mishe, vile vile kuna Wakenya humu huja huko Tanzania.
Tunachofanya ni kusogeza muda kwa ushindani wa kindugu lakini sote tunahitajiana kwa namna moja au nyingine.
 
Kuna MTU alisema Kenya ni taifa LA kishujaa..
Sasa nimeamini alichosema ni kweli maana kitendo cha kutembea na mgando wa gogo kwa matak** asee huo ni zaidi ya ushujaaa hahahaha..viva mashujaa wa Kenya ..
Ila nyie majamaa ni nastyy maz*** fakaz daaaaa
 
Tatizo wewe mgeni ulikuja na mihemko hukujua huku kuna ustaarabu wake, ukajidanganya wewe ndiye mwenye dhamana ya kuwatusi watu, kwamba wengine hatujui jinsi ya kutukana, kwa taarifa yako mimi hapa nimewahi kula ban kwa ajili ya matusi makubwa hata zaidi ya wewe ambaye bado unajifunza.
Pambanua na kupangua hoja za wadau, wote tunakutana huku kama wana Afrika mashariki, japo utaona tukishindana humu udhani tuna chuki, lakini nje kwenye kazi zetu tuashirikiana sana hatuna chuki. Hawa Watanzania unaowaona humu wengi wapo Kenya wanapiga mishe, vile vile kuna Wakenya humu huja huko Tanzania.
Tunachofanya ni kusogeza muda kwa ushindani wa kindugu lakini sote tunahitajiana kwa namna moja au nyingine.
Amina mkuu.sasa nmeanza kukuelewa
 
Hayo mambo ya kujitumbukiza vidole kwenye mkun... eti unaosha mavi, ni mila na desturi mliiga kutoka kwa waarabu, hilo sisi hatuigi.
Khaaa ama kweli mganga hajigangi,kwa hiyo mmeiga lugha ya mkoloni hadi utamaduni wa uchafu, kweli kenya nimeamini is a white booty leakers state,mmmh.
 
Back
Top Bottom