Ni uhusika gani Joti akiuvaa katika kuigiza anakuwa ame-fit?

Both..kwenye no 1 vile vitako vyake,dah... 😀
 
Kuna siku JK comedian (ilikuwa kwenye kile kipindi cha mabaunsa, nadhani Mr. Tanzania) alikuwa anabadilisha badilisha sauti na kuwaigiza macomedian wenzake wakati akiongea. Nilicheka sana alipojaribu kuigiza sauti ya Bomba na ya Kingwendu, anawapatia exactly utafikiri ni wao wanaongea. Halafu Kingwendu siyo kwamba alikuwa anamuigiza sauti tu hapana, bali pia matendo kama vile kutoa ulimi nje na kugeuza geuza macho. JK comedian ni mbaya kwenye comedy, hafai!
 
Ujinga ni nini?
Ujinga ni pale unajitapa kwa wanaume wenzako kuwa mwanamke hawezi kukuendesha. Lakini wakati huo huo mwanamke wakati wa usiku akikwambia "baby, zima hiyo taa'' unaenda spidi kama ndege! Sasa yeye Joti anavyoiongea, utaipenda tu.
 
4. BABU MZEE MWALUBADU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wowote tu [emoji1787][emoji1787]
nishai mzee wa matukio
 
Huyo jamaa bwana, kuna video za nyuma kidogo akiwa na mpoki yaani huwa sina mbavu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…