Bomba La Mvua
Member
- Feb 27, 2015
- 95
- 44
Mjomba nishai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilijua katika tanzia na ww uliletwa kwa jina lako halisi kumbe bado upo, kongole kwako nisamehe kwa mawazo mabaya.Chuma imerudi kwa barabara mkuu... [emoji12] [emoji23]
Both..kwenye no 1 vile vitako vyake,dah... 😀Kiukweli binafsi namkubali sana huyu GENTLEMAN katika kufikisha sanaa yenye ujumbe kwa hadhira .katika joti tv ukimuangalia jamaa anajua... comedy zake zinachekesha sana.je ni uhusika gani kati ya hizi hapa anapendezea na anakuwa amefit?
1.kiboga
2.mjomba nishai
3 .andunje
4 .babu
5.mpemba hami[emoji16][emoji16]
Kwenu wadau
MÊmENtO HoMO
Bado nipo hai mkuu wangunilijua katika tanzia na ww uliletwa kwa jina lako halisi kumbe bado upo, kongole kwako nisamehe kwa mawazo mabaya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku JK comedian (ilikuwa kwenye kile kipindi cha mabaunsa, nadhani Mr. Tanzania) alikuwa anabadilisha badilisha sauti na kuwaigiza macomedian wenzake wakati akiongea. Nilicheka sana alipojaribu kuigiza sauti ya Bomba na ya Kingwendu, anawapatia exactly utafikiri ni wao wanaongea. Halafu Kingwendu siyo kwamba alikuwa anamuigiza sauti tu hapana, bali pia matendo kama vile kutoa ulimi nje na kugeuza geuza macho. JK comedian ni mbaya kwenye comedy, hafai!Kiukweli binafsi namkubali sana huyu GENTLEMAN katika kufikisha sanaa yenye ujumbe kwa hadhira .katika joti tv ukimuangalia jamaa anajua... comedy zake zinachekesha sana.je ni uhusika gani kati ya hizi hapa anapendezea na anakuwa amefit?
1.kiboga
2.mjomba nishai
3 .andunje
4 .babu
5.mpemba hami[emoji16][emoji16]
Kwenu wadau
MÊmENtO HoMO
Mpemba[emoji23]
ni kujifukiza au ndo mambo ya limao na tangawizi ??Bado nipo hai mkuu wangu
Kuna ile clip mpemba anaagiza kitimoto[emoji1787]
MONEY STOP NONSENSE
4. BABU MZEE MWALUBADUKiukweli binafsi namkubali sana huyu GENTLEMAN katika kufikisha sanaa yenye ujumbe kwa hadhira .katika joti tv ukimuangalia jamaa anajua... comedy zake zinachekesha sana.je ni uhusika gani kati ya hizi hapa anapendezea na anakuwa amefit?
1.kiboga
2.mjomba nishai
3 .andunje
4 .babu
5.mpemba hami[emoji16][emoji16]
Kwenu wadau
MÊmENtO HoMO
Halafu Kuna mtu tena huku kitaa alishatoa tena kauli kama yako [emoji848][emoji848][emoji848]