Ni uhusika gani Joti akiuvaa katika kuigiza anakuwa ame-fit?

Yaani hata kuangalia mambo yake huwa sitaki na nikikuta wanangu wanaangalia maigizo yake nazima TV au nabadilisha chaneli hafai kabisa huyo dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
unachokiongea ni kweli ..kuna mtu kweli huku kitaa alisema huyu jamaa anakoelekea anakuwa ana kama kutukuza fulani hivi sana mambo ya ushoga. Yaani comedi nyingi sasa hivi ni aibu sana haswa kwa kizazi hiki cha hawa watoto ni hatari.

MÊmENtO HoMO
 
Mwanaume akishaanza mambo ya kujifanya mwanamke, huwa inakata hata stimu ya kufuatilia sanaa anayofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…