Ni uhusika gani Joti akiuvaa katika kuigiza anakuwa ame-fit?

Ni uhusika gani Joti akiuvaa katika kuigiza anakuwa ame-fit?

Boeing 757

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2020
Posts
288
Reaction score
620
Kiukweli binafsi namkubali sana huyu GENTLEMAN katika kufikisha sanaa yenye ujumbe kwa hadhira katika Joti TV ukimuangalia jamaa anajua... comedy zake zinachekesha sana. Je ni uhusika gani kati ya hizi hapa anapendezea na anakuwa amefit?

1. Kiboga
2. Mjomba nishai
3. Andunje
4. Babu
5. Mpemba hami[emoji16][emoji16]
Kwenu wadau

====
Lucas Muhuvile maarufu kama Joti ni mmoja kati ya waigizaji wanaoweza kuigiza kwa uhusika mwingi tofauti

Aina za uigizaji wake ziliweza kudhihirikakipindi ‘Ze Komedi Show’ inatamba, uigizaji ambao ameendelea kwenda nao hadi sasa kwenye vichekesho vyake

Mara kadhaa amaekuwa akiigiza kama mwanamke, Mzee, Mtoto au Mtu wa Visiwani. Je, wewe unamfurahia Joti akivaa uhusika gani?

MÊmENtO HoMO
 
Picha muhimu ili hata moja ya kunogesha uzi ,binafsi namkubali akiigiza kama Andunje.
 
Back
Top Bottom