Ni Ujasusi Au Mapenzi Ya Dhati?

Ni Ujasusi Au Mapenzi Ya Dhati?

Basi bwana jukwa ghafra bin fuu likachafuka kwa maswala ha kende na labia.........kutoka mwaswala ya kijasusi ya uchumi wa kidola...hahh
 
Unaweza kuta huyo Boulos ni CIA asset na Tiffany ndio handler wake.
Hahaha mnaangalia movie sana, Tiffany hana akili hizo. Yani Trumps wao wako after money tu, kwao pesa ndio kila kitu. Hawajali hata ikiwa ni kuuza sehemu ya nchi, ikiwa watalipwa pesa ni sawa. Trumps waache pesa waanze kufanya sijui udukuzi? For what?!
 
Unajua kitu kinaitwa Deep State?
 
Unajua kitu kinaitwa Deep State?
Hahaha huyo ni mrupo/changudoa tu hakuna cha deep state kwa Trumps. Labda ingekuwa mwingine, siyo Tiffany Trump. Hata Ivanka ningekataa.
 
Back
Top Bottom