Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Tusiwe wasahaulifu kiasi hiki, uchaguzi wa 2015 ulikua na dosari kubwa ambazo waasisi na wasimamizi walikua by then ni "Vijana" walioaminiwa.
January Makamba ambaye sasa ni Wazuri, huyu ndio alikua kiongozi wa tallying center ya CCM ambayo ilibuni matokeo, kwa mfano, wapiga kura kwenye jimbo lake ambao walijiandikisha walikua 20,000 ila kura za Urais zikawa 40,000! Hili Watu walilipigia kelele sana, huu ni mfano ukiachana na mengine.
Nape Nnauye, anayeshabikiwa Leo, ndio muasisi na mtekelezaji wa ujinga aliouita "BAO la mkono", mkumbuke Nape aliwahi kupata ajali ambayo haikua na maelezo yoyote yale. Nape ndio muasisi pia wa Cybercrime act na maujinga mengine.
Hawa wamechaguliwa au wamepewa madaraka hayo Ili kuwapa nafasi ya kufanya ujinga ule ule wa miaka Ile.
Kabla ya kupiga makofi, tusijikumbushe walikotutoa na kutuingiza kwenye matatizo makubwa.