Nawaza tu. Mange hayupo watu wakiandamana itakuwaje?Toka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc.
Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu? Wakati wanakutia risasi kesho kiongozi wako yupo kifuani kwa mumewe huku anachat na kisimu chake.
Yani akili huna ila hata kuona huoni?
Toka lini maandamano ya kujazana barabarani bila plan yalimng’oa hata Mwenyekiti wa kitongoji?
Kinachotafutwa kesho ni maiti ziongozeke ili waseme serikali inazidi kuua raia ili madonor wao wapate leverage ta kunegotiate na serikali.
Hata hayo mavita ya Urusi na Ukraine, baada ya mamia ya maelfu kufa baadae watakaa kwenye meza na kuyamaliza yaishe, wakati huo wewe upo matopeni.
Jisikie aibu kufa kwa ajili ya mainfluencer…
Hata wasipoandamana watakufa kwa kutekwa, bora ufe kwa risasi, kuliko ufirwe kisha ndio uuwawe. Au nyie nani kawaagiza mteke watu, au mna Mange na Maria wenu wamewaagiza?Toka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc.
Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu? Wakati wanakutia risasi kesho kiongozi wako yupo kifuani kwa mumewe huku anachat na kisimu chake.
Yani akili huna ila hata kuona huoni?
Toka lini maandamano ya kujazana barabarani bila plan yalimng’oa hata Mwenyekiti wa kitongoji?
Kinachotafutwa kesho ni maiti ziongozeke ili waseme serikali inazidi kuua raia ili madonor wao wapate leverage ta kunegotiate na serikali.
Hata hayo mavita ya Urusi na Ukraine, baada ya mamia ya maelfu kufa baadae watakaa kwenye meza na kuyamaliza yaishe, wakati huo wewe upo matopeni.
Jisikie aibu kufa kwa ajili ya mainfluencer…
Hii movement haina direction wala specific agenda. Huyu anasema ya amani, huyu anakiwasha. Kiufupi kinachotafutwa ni maafa kwa ajili ya kufanyia mtajiNawaza tu. Mange hayupo watu wakiandamana itakuwaje?
Kama ambavyo chadema haikuwepo watu wakakiwasha.
ID yako ina akili kuliko mwenye IDToka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc.
Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu? Wakati wanakutia risasi kesho kiongozi wako yupo kifuani kwa mumewe huku anachat na kisimu chake.
Yani akili huna ila hata kuona huoni?
Toka lini maandamano ya kujazana barabarani bila plan yalimng’oa hata Mwenyekiti wa kitongoji?
Kinachotafutwa kesho ni maiti ziongozeke ili waseme serikali inazidi kuua raia ili madonor wao wapate leverage ta kunegotiate na serikali.
Hata hayo mavita ya Urusi na Ukraine, baada ya mamia ya maelfu kufa baadae watakaa kwenye meza na kuyamaliza yaishe, wakati huo wewe upo matopeni.
Jisikie aibu kufa kwa ajili ya mainfluencer…
Sijasoma kinyesi chako chote ulichorundika hapa lakini labda tu nikuulize yafuatayo ..Toka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc.
Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu? Wakati wanakutia risasi kesho kiongozi wako yupo kifuani kwa mumewe huku anachat na kisimu chake.
Yani akili huna ila hata kuona huoni?
Toka lini maandamano ya kujazana barabarani bila plan yalimng’oa hata Mwenyekiti wa kitongoji?
Kinachotafutwa kesho ni maiti ziongozeke ili waseme serikali inazidi kuua raia ili madonor wao wapate leverage ta kunegotiate na serikali.
Hata hayo mavita ya Urusi na Ukraine, baada ya mamia ya maelfu kufa baadae watakaa kwenye meza na kuyamaliza yaishe, wakati huo wewe upo matopeni.
Jisikie aibu kufa kwa ajili ya mainfluencer…
We ingia itajulikana keshoKwani bado mna hamu ya kuua?
Tanzania ina watu Milioni 65, ukiambiwa utoe list ya watu unaodai wametekwa hata 100 hutaji.Hata wasipoandamana watakufa kwa kutekwa, bora ufe kwa risasi, kuliko ufirwe kisha ndio uuwawe. Au nyie nani kawaagiza mteke watu, au mna Mange na Maria wenu wamewaagiza?
Tunawapa mtaji nyie, maana mlikuwa mnaua taratibu kwa kuteka, sasa tunakuja kwa wingi ili mtuue vizuri. Tunajua kuua ndio tambiko lenu ili muendelee kukaa madarakani, hivyo kadiri mtakavyoua ndio mtakavyokaa madarakani.Hii movement haina direction wala specific agenda. Huyu anasema ya amani, huyu anakiwasha. Kiufupi kinachotafutwa ni maafa kwa ajili ya kufanyia mtaji
Kwani nini kuwe na maafa kwa watu wasio na uelekeo.?Hii movement haina direction wala specific agenda. Huyu anasema ya amani, huyu anakiwasha. Kiufupi kinachotafutwa ni maafa kwa ajili ya kufanyia mtaji
Kifo hata cha mtu mmoja ni tatizo kubwa, ww hadi ufikie mia ndio unaona ni tatizo kubwa? Sasa kesho tunatoka ili mtuue vizuri. Kisha watakaobaki watamlaumu huyo Mange. Ila msiombe siku tukakamata silaha, mtabidili narative.Tanzania ina watu Milioni 65, ukiambiwa utoe list ya watu unaodai wametekwa hata 100 hutaji.
Umepumbazwa na wanasiasa kuamplify tatizo ambalo huwezi kulielezea wala kuthibitisha.
Hiyo ndo maana ya propaganda.
Propaganda haimaanishi jambo fulani ni la uongo, ila linachukuliwa tatizo dogo au lililojificha linafanywa kuwa ndio main topic ili kufikia malengo kupitia migongo ya wengine
Herd MentalityKwani nini kuwe na maafa kwa watu wasio na uelekeo.?
Nyie ndio mnakufaga ndaniToka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc.
Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu? Wakati wanakutia risasi kesho kiongozi wako yupo kifuani kwa mumewe huku anachat na kisimu chake.
Yani akili huna ila hata kuona huoni?
Toka lini maandamano ya kujazana barabarani bila plan yalimng’oa hata Mwenyekiti wa kitongoji?
Kinachotafutwa kesho ni maiti ziongozeke ili waseme serikali inazidi kuua raia ili madonor wao wapate leverage ta kunegotiate na serikali.
Hata hayo mavita ya Urusi na Ukraine, baada ya mamia ya maelfu kufa baadae watakaa kwenye meza na kuyamaliza yaishe, wakati huo wewe upo matopeni.
Jisikie aibu kufa kwa ajili ya mainfluencer…
Wanatamani kuua ila dunia inawamulikaKwani bado mna hamu ya kuua?
Kwani mange ndiye alikuwa akiteka mchana kweupe na kuua? Msihamishe magoli chanzo cha tatizo ni serikali yenyewe na ndiyo imechochea chuki kubwa dhidi yake na wananchi wala msitafute wakuwasingizia halafu serikali ikajifanya haijuiToka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc.