Msemahaki kapata Rungu
JF-Expert Member
- Dec 2, 2025
- 267
- 149
Eti ukiwaita vichaa wanakasirika. Acheni kufuata mkumbo tuwawezesheLeo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu? Wakati wanakutia risasi kesho kiongozi wako yupo kifuani kwa mumewe huku anachat na kisimu chake
sawa mke wa Abdul....Eti ukiwaita vichaa wanakasirika. Acheni kufuata mkumbo tuwawezeshe
We jamaa una akili sanaaWajinga ndio waliwao,
Sarungi ata Kuja kumzika Baba yake tu mzazi aliogopa kajifungia uko Kenya na Basha wake anakuambia wewe utoke barabarani
Mange anasema ile tarehe 29 jamaa lake lilimpokonya simu akalala sana, Ila Leo we kiazi upo zako Kimara Bonyokwa unafanya Riot very pathetic
Keyboard warrior detectedWe kumar, sisi hatumpiganii mange, sisi tunalipigania taifa letu, mnaiba mali za taifa, mnajifaidisha.. huyo mange yuko zake marekani ya huku wala hayamgusi.
Huyo mange alishapiga sana kelel mtandaoni watu wakawa wanamuona chizi
Why now, watanzania wamechoka, wameamka, wameelimika.. zama hizi sio zile za 50 kweusi, nyerere anatizama tv ikula anaamka anawatangazia.
Nchi ina gesi, bandari, madini usiseme lakini tupo tupo tu, chora graph ya maliasili zetu vs maendeleo ama uchumi wetu, utaona zhing zhong..
Vipi muda wa uhuru vs maendeleo?
TUMECHOKA, makumar nyinyi
Andika hivi ni ujinga sana vyombo vya kulinda wananchi kuua wananchi wakeToka enzi na enzi, Great people waliongoza majeshi na Majenerali walikuwa bega kwa bega, tayari kutoa maisha yao kwa ajili ya majenerali wao. Wakina Napoleon, Alexander the Great, Khalid bin Walid etc.
Leo hii wewe mtoto wa 2000 unaenda kufa kisa Mange na Maria wamekupump, huoni hata aibu? Wakati wanakutia risasi kesho kiongozi wako yupo kifuani kwa mumewe huku anachat na kisimu chake.
Yani akili huna ila hata kuona huoni?
Toka lini maandamano ya kujazana barabarani bila plan yalimng’oa hata Mwenyekiti wa kitongoji?
Kinachotafutwa kesho ni maiti ziongozeke ili waseme serikali inazidi kuua raia ili madonor wao wapate leverage ta kunegotiate na serikali.
Hata hayo mavita ya Urusi na Ukraine, baada ya mamia ya maelfu kufa baadae watakaa kwenye meza na kuyamaliza yaishe, wakati huo wewe upo matopeni.
Jisikie aibu kufa kwa ajili ya mainfluencer…
🖕🖕🖕🖕Keyboard warrior detected