Ni ujinga TFF au CAF

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Hivi wakati haya mashindano ya vijana ya Afrika yanapangwa kufanyika Tanzania kipindi hiki hawakujua hali ya hewa itakuwaje hapa Tanzania.Baada ya Qatae kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa kombe la dunia tulisikia lawama mbalimbali kuhusu hali ya hewa kwa kipindi ambacho michuano inafanyika lakini TFF na CAF mmoja wao ni kilaza hatutapa wawakilishi wanaostahili ikiwa michuano hii itafanyika kipindi hiki cha mvua
 
Ahahahaha we jamaa kabla ujaandika fikiria hilo wazo lako Mara mbili mbili sio kukurupuka.
Joto kule Quatae ni constant kwa kipindi hicho, tofauti na mvua ambayo inaweza ikanyesha au isinyeshe. Kwani ujawai ona mpira unachezwa uku mvua inanyesha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ligi za ulaya zenyewe zinachezwa huku mvua inanyesha! Kinachoshangaza kwa tz ni kipi? Anyway, CAF na TFF si vilaza, ila mleta uzi ajitafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada ana hoja...hata TPL inatakiwa imalizike mwezi wa tatu na kuanza mwezi wa sita...miundombinu mibovu sana..
 
Ligi za ulaya zenyewe zinachezwa huku mvua inanyesha! Kinachoshangaza kwa tz ni kipi? Anyway, CAF na TFF si vilaza, ila mleta uzi ajitafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
umeshaw3ahi kuona mechi za kombe la dunia mvua inanyesha wenzetu kabla ya kupanga haya mashindano wanaangalia na hali ya hewa sio kukurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…