rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Hivi wakati haya mashindano ya vijana ya Afrika yanapangwa kufanyika Tanzania kipindi hiki hawakujua hali ya hewa itakuwaje hapa Tanzania.Baada ya Qatae kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa kombe la dunia tulisikia lawama mbalimbali kuhusu hali ya hewa kwa kipindi ambacho michuano inafanyika lakini TFF na CAF mmoja wao ni kilaza hatutapa wawakilishi wanaostahili ikiwa michuano hii itafanyika kipindi hiki cha mvua