Ni ujinga,ulimbukeni na ushamba kusifia chuo unachosoma na kuviponda vingine!


kuna wadau wanajisifia kwakua kuna majengo mazuri(UDOM),ILA KUNA WENGINE WANASIFIA TAALUMA(UDSM,SUA,MUHIMBILI,MZUMBE NA IFM),KWA HIYO ACHA WAJISIFIA KWA CRITERIA ZAO
 

Kwa wenye upeo mdogo kama wewe,watajudge ukichaa kwa macho ila mwenye hekima na aliyeelimika atahitaji uchunguzi wa kisayansi!
 
kuna wadau wanajisifia kwakua kuna majengo mazuri(UDOM),ILA KUNA WENGINE WANASIFIA TAALUMA(UDSM,SUA,MUHIMBILI,MZUMBE NA IFM),KWA HIYO ACHA WAJISIFIA KWA CRITERIA ZAO

Sasa hapo kuna umuhimu wa kujisifia katika ulimwengu huu wa uvumbuzi na tafiti mbalimbali za kisayansi kwa kigezo cha kuwa na sababu za kijinga kama hizo ulizotaja?
 
Sisi wa chuo cha nyuki hata hatuna shida, tunavuna asali tu..
 
Duh!humu,watu wana inferiority complex na vyuo vyao wanavyosoma.

Wewe ukiingia kwenye soko la ajira na hako kadegree kako utashindwa hata na mtoto wa kidato cha nne kutoka Kenya!Mtu uko chuo hata kutoa briefly background yako kwa simple english hujui,halafu unajigamba unasoma chuo bora nchini!Amka wewe,acha kukariri maisha!
 
Kweli wewe umesoma huko huko unakosema utajiwe. Sasa hapa sijui umemiski au umemiksi?

Punguza jazba, kama madogo wamejisifia na wewe jisifie

Kweli hujakosea kujiita Mwana Mtoka Pabaya,yaani mpaka mawazo yako yanatoka pabaya!Toa hoja zako siyo unadandia hoja za watu!Hoja hujibiwa kwa hoja,hoja haijibiwi na upuuzi kama uliochangia!
 
Hao wanaosifia vyuo ni watoto wa kizazi cha Kiduku/dotcom wala wasikupe shida!Yaani kwa waliosoma abroad vyuo wanawashangaa sana wanapoona watu wanajishaua na vyuo vya bongo!!
 
Chuo cha Taifa ni UDSM tu. Vingine ni taasisi

Yaani wewe hujui hata maana ya taasisi!Kweli ni haki yetu Tanzania kuwa masikini kama wasomi wetu wana upeo kama wako!Chuo ni taasisi...kama UDSM siyo taasisi basi hakina hadhi ya kuitwa chuo!
 
Mtoto wa UDOM ana hasira sana huyu!, kachungulie kwenye zile 100 bora kama ipo!, soma dogo acha kupoteza muda na watu hapa, wengi tunalipa kodi hapa hatuishi kwa boom! Shauri yako.

Kwani hiyo top 100 hata wewe si unaweza kutunga yako!
''Katika msafara wa wasomi na wapumbavu wapo''
 
dah unaonaaa utaaaamu kweli ndo
maana baba wa taifa alisema ukianza unzazibari na unzazibara..utakuja uunguja na penda ag uDSM na UMZUMBE NA UUDOM...wakubwa tujifunze kwa wenzetu na kukuza utaifa mengine ni mapito tu mkienda kenya au uganda sisi sote ni watanzania..proudly tanzanian
 

hivi UDOM mmeshachagua viongozi au bado?
 

njoo hapa state university uone the way tunavowatoa nishai hao wakenya na waganda unao wasifia.pole sana kwa kusoma elimu ya ngumbaru mkuu.
 
njoo hapa state university uone the way tunavowatoa nishai hao wakenya na waganda unao wasifia.pole sana kwa kusoma elimu ya ngumbaru mkuu.

Baadhi ya wanaojiita wasomi wa Tanzania ukiwemo wewe ni sifa tu ndiyo mnaweza!Maliza hako kadegree kako uje kusota mtaani huku unajisifia nilisoma chuo bora nchini!
 

Kaka acha kiingereza! kutojua kiingereza ni matokeo ya mfumo mbovu wa elimu hapa tanzania.. mbona Kenya, Uganda, Malawi, Zambia na other english-speaking countries hawana matatizo ya lugha hiyo ya kibiashara (business language)! tatizo la msingi ni kwamba mbona hao waliosoma the so called vyuo vya kata baadhi yao nawafahamu wana nafasi nyeti serikalini na wana deliver?? ... hii academic stigma watu wamepandikiziwa darasani na maprofesa wao.. nao wame copy na ku paste na kuyaleta mambo yao humu Jamii forums... namfahamu dada mmoja na PS pale UDOM kasomea diploma yake ya ukatibu muhtasi Mt Meru University Arusha aka Chuo cha Kata anaandika na kuongea kiingereza kizuri kuliko products za Mlimani zinazochangia mada JF na kiingereza chao kibovu na lojiki haipo in whatever they write...
 
taaluma wap?mmebakia kujiuza uza mjini tu nyie.
 
duh kumbe UDSM ni mwiba mchungu??..

Heri yetu sisi wa Muslim university tunaoogopa ata kusema tulisoma chuo gani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…