Ni kwa kipindi sasa naona mijadala ya vyuo imekuwa ikishamiri humu jukwaani.Baadhi ya watu wamekuwa wakichangia upumbavu tu ingawa wanajiita wasomi,mara wanajisifiasifia wanapopatia elimu zao na kukejeli vyuo vingine.
Nakwambia hivi,dunia hii haina kanuni,na usijaribu kuipa kanuni,Mungu pekee ndiye anayeijua!
Kwa nini ujisifie chuo wakati kichwani kwako kumejaa ulimbukeni?Kwa nini ujisifie chuo wakati huwezi hata kucompete kwenye Soko la Afrika Mashariki?Acheni ushamba,mnaingia vyuoni hata perfect tenses hamjui halafu mnabishana humu ndani!
kuna wadau wanajisifia kwakua kuna majengo mazuri(UDOM),ILA KUNA WENGINE WANASIFIA TAALUMA(UDSM,SUA,MUHIMBILI,MZUMBE NA IFM),KWA HIYO ACHA WAJISIFIA KWA CRITERIA ZAO