Ni ujuzi gani ambao waombaji wa kazi wengi huo hawana; inaweza kuwa hard au soft skill. Tusaidiane kujifunza

Sio kweli.

Master excel uwezavyo kuna kazi huwezi kufanya ambazo zinahitaji specific skill set. Unajua excel ni general skill ambayo inatumika sehemu nyingi lakini sio sehemu zote.​
Nadhani amemaanisha kwamba kazi nyingi zinazohitaji huo ujuzi utazipata,hamna skill ambayo iko applicable kwenye kazi zote ,ilo liko wazi.
 
Sio kweli.

Master excel uwezavyo kuna kazi huwezi kufanya ambazo zinahitaji specific skill set. Unajua excel ni general skill ambayo inatumika sehemu nyingi lakini sio sehemu zote.​
Comment yangu imebase kwenye excel mkuu, sijaongelea wapi na wapi, niliposema kuna kazi huwezi kukosa, nilimaanisha zinazohitaji issues za excel peke yake.
 
Nadhani amemaanisha kwamba kazi nyingi zinazohitaji huo ujuzi utazipata,hamna skill ambayo iko applicable kwenye kazi zote ,ilo liko wazi.
Na ndio ilikuwa maana yangu mkuu, kuna ofisi nilienda miaka ya nyuma nilikuwa najitolea pale wameajiri hsfi mtu foreign kwa ajili ya Data analysts, nikamuuliza supervisor why akasema wabongo Excel wababaishaji sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…