Rog chimera
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 398
- 706
- Thread starter
- #21
Nadhani amemaanisha kwamba kazi nyingi zinazohitaji huo ujuzi utazipata,hamna skill ambayo iko applicable kwenye kazi zote ,ilo liko wazi.Sio kweli.
Master excel uwezavyo kuna kazi huwezi kufanya ambazo zinahitaji specific skill set. Unajua excel ni general skill ambayo inatumika sehemu nyingi lakini sio sehemu zote.