Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumizi sahihi ya maneno haya ni yapi?
Ukarabati au ukarafasi na kujiuzulu au kujihuzuru?
Ukarabati == kufanyia matengenezo.
Ukarafasi == ???
Kujiuzulu == kuachia madaraka kwa hiari, ama kutokana na kuwa na kesi inayoingiliana na nafasi uliyonayo.
Kujihuzuru ==sidhani kama hili ni neno sahihi.