Ni ukweli kiasi gani kwamba ukiigusa Kenya umemgusa Biden na EU

Ni ukweli kiasi gani kwamba ukiigusa Kenya umemgusa Biden na EU

Escrowseal1

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2014
Posts
4,618
Reaction score
4,605
Katika mahojiano VOA Swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza Kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa Museveni kuandika kwenye Twitter utani wa kuivamia Kenya.

Naombeni ufafanuzi wa madai haya ya mkenya bandugu .
 
Katika mahojiano VOA swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa mseveni kuandika kwenye tweeter utani wa kuivamia kenya. Naombeni ufafanuzi wa madai haya ya mkenya bandugu .
Wakati wa vita baridi ilikuwa hivyo siyo sasa, maana Kenya hasa Nairobi ilitumika kama show point kuwa ubebari ni mzuri kuliko ujamaa kwa lengo la kuidhalilisha tz, kwa sasa hicho hakipo, USA kwa sasa interest yao ni natural resources, kenya ina nini?. shida ya wakenya bado mindset zao ni za kuabudu wakoloni na wazungu.

Shida ya mtoto wa Museveni ni upumbavu, anavyomwendesha baba yake anadhani anaweza akamwendesha kila mtu. Nina uhakika hata Waganda wangetaka aichokoze kenya ili waganda waungane na wakenya kuitandika familia ya mseveni kama walivyoungana na Tanzania kumtandika Idd Amin
 
during cold war ilikuwa hivyo siyo sasa, maana kenya hasa nairobi ilitumika kama show point kuwa ubebari ni mzuri kuliko ujamaa kwa lengo la kuidhalilisha tz, kwa sasa hicho hakipo, USA kwa sasa interest yao ni natural resources, kenya ina nini?. shida ya wakenya bado mindset zao ni za kuabudu wakoloni na wazungu.

Shida ya mtoto wa mseveni ni upumbavu, anavyomwendesha baba yake anadhani anaweza akamwendesha kila mtu. Nina uhakika hata Waganda wangetaka aichokoze kenya ili waganda waungane na wakenya kuitandika familia ya mseveni kama walivyoungana na Tanzania kumtandika Idd Amin
Na kweli waganda watakua wamemchoka mtu tangu 84 mpaka leo kakomaa tu ikulu.
 
Ndiyo, M7 anaandaa Idd Amin Junior
Museveni anabidi apumzike sasa amuachie mwanae kama anataka arithiwe. Tofauti na hapo akifa kisha harakati za urithi ndio zianze hapatakalika, huyo GMO General anadharauliwa na haungwi mkono kwa upuuzi wake. Angalau angekuwa anajielewa kama mtoto wa Idris Derby wa Chad ambaye alivyokufa kwenye operation ya kupambana na magaidi mwanae alimrithi, he is very capable hata kama urithi sio demokrasia. Sasa huyu dikteta alafu kilaza
 
Waliojiwa viongozi wa kenya na watu wa usalama...

Post ile waliichukulia positive sana, tofauti na wengine wanavyo ichukulia na Museveni kampandisha au kamrudisha Mwanae katika cheo cha awali cha General

Na ktk ile post kwa tafsiri za wadau wa kenya wametafsiri kuwa kenya ukiondoa ukabila na udini ambao una leta mgawanyiko na kama kenyata angeamua kuendelea angechukua nchi kwa sababu hiyo

Akueleza ubaya wowote kama wengine walivyo tafsiri Bali amepeleka ujumbe kwa lugha ya kijeshi...

Mitandao na wajinga wachache ndio wana kuza mambo... na amepelekea baba yake kuomba ladhi kwa wakenya na Ruto lakini sio kumkanya mwanae na hiyo yote amezidi kumpachika licheo

Utaona namna gani tafsiri ya ujumbe ule haikueleweka kwa wengi tofauti na wanavyo jinasibu kuwa wameielewa...
 
during cold war ilikuwa hivyo siyo sasa, maana kenya hasa nairobi ilitumika kama show point kuwa ubebari ni mzuri kuliko ujamaa kwa lengo la kuidhalilisha tz, kwa sasa hicho hakipo, USA kwa sasa interest yao ni natural resources, kenya ina nini?. shida ya wakenya bado mindset zao ni za kuabudu wakoloni na wazungu.

Shida ya mtoto wa mseveni ni upumbavu, anavyomwendesha baba yake anadhani anaweza akamwendesha kila mtu. Nina uhakika hata Waganda wangetaka aichokoze kenya ili waganda waungane na wakenya kuitandika familia ya mseveni kama walivyoungana na Tanzania kumtandika Idd Amin
Kiongozi, pana ka ukweli kiasi fulani. Marekani hawaweki military base pasipo na maslahi.

Marekani kwa sasa anawekeza sana kijeshi Kenya. Pana jambo, si bure.
 
Museveni anabidi apumzike sasa amuachie mwanae kama anataka arithiwe. Tofauti na hapo akifa kisha harakati za urithi ndio zianze hapatakalika, huyo GMO General anadharauliwa na haungwi mkono kwa upuuzi wake. Angalau angekuwa anajielewa kama mtoto wa Idris Derby wa Chad ambaye alivyokufa kwenye operation ya kupambana na magaidi mwanae alimrithi, he is very capable hata kama urithi sio demokrasia. Sasa huyu dikteta alafu kilaza
Ukilaza nini kaka? Kwa tafsiri yako Au tafsiri sahihi?
 
Huyu kijana wa museven ni MPUMBAVU sana, huwezi ukatoa maneno ya namna hiyo.
Timing is everything. Mtu mzima anapoongea au kuandika kitu usiku, usikizingatie sana. Wakati mwingine anafanya hivyo akiwa amekwishameza 'ngumu kumesa'!
 
During cold war ilikuwa hivyo siyo sasa, maana Kenya hasa Nairobi ilitumika kama show point kuwa ubebari ni mzuri kuliko ujamaa kwa lengo la kuidhalilisha tz, kwa sasa hicho hakipo, USA kwa sasa interest yao ni natural resources, kenya ina nini?. shida ya wakenya bado mindset zao ni za kuabudu wakoloni na wazungu.

Shida ya mtoto wa Museveni ni upumbavu, anavyomwendesha baba yake anadhani anaweza akamwendesha kila mtu. Nina uhakika hata Waganda wangetaka aichokoze kenya ili waganda waungane na wakenya kuitandika familia ya mseveni kama walivyoungana na Tanzania kumtandika Idd Amin
Kenyata na huyo dogo ni marafiki sana
Kagame na huyo dogo ni marafiki mno

Utaelewa kwa namna gani ujumbe ule haukuwa wa kichokozi wala chuki kama mnavyo tafsiri na hakutakuwa na vita wala marumbanoo

Diplomasia haipo kama unavyo fikiria, kenya wangesha mrejesha kwao balozi Au kumuita na kumuoji kuhusu maneno yale...

Mambo sio rahisi hivyo

Marekani wapo kenya na Tz pia kwa ajili ya kupambana na magaidi... na wamekamata wengi sana wanao pitia kenya na Tz kwenda Somalia

Na wana makambi pia Djibouti nk yote ni kuimarisha usalama wao na uchumi wao...

Somalia walio dokta lakini kwa sasa wamerudi tena na Washindani wao China una fahamu kwanini?
 
Kiongozi, pana ka ukweli kiasi fulani. Marekani hawaweki military base pasipo na maslahi.

Marekani kwa sasa anawekeza sana kijeshi Kenya. Pana jambo, si bure.
Hata UK wana troops Kenya. Sio jambo la bure nakuunga mkono
 
Back
Top Bottom