Ni ukweli kiasi gani kwamba ukiigusa Kenya umemgusa Biden na EU

Ni ukweli kiasi gani kwamba ukiigusa Kenya umemgusa Biden na EU

Hata Tanzania tukitaka nyooshwa, wataitumia Kenya kutunyoosha
 
Wakati wa vita baridi ilikuwa hivyo siyo sasa, maana Kenya hasa Nairobi ilitumika kama show point kuwa ubebari ni mzuri kuliko ujamaa kwa lengo la kuidhalilisha tz, kwa sasa hicho hakipo, USA kwa sasa interest yao ni natural resources, kenya ina nini?. shida ya wakenya bado mindset zao ni za kuabudu wakoloni na wazungu.

Shida ya mtoto wa Museveni ni upumbavu, anavyomwendesha baba yake anadhani anaweza akamwendesha kila mtu. Nina uhakika hata Waganda wangetaka aichokoze kenya ili waganda waungane na wakenya kuitandika familia ya mseveni kama walivyoungana na Tanzania kumtandika Idd Amin
Nitakuuliza swali. Djibouti ambapo kuna military base kubwa ya Marekani barani Afrika, na largest foreign base ya China kuna rasilimali gani.

Sio kila muda nchi inatakiwa iwe na rasilimali. Nyingine zinatumika kama corridors kwenye ukanda fulani. Na sababu nyinginezo
 
Tafuta ujue kwa nini base iko Djibuti....unaporesearch tafute ujue umuhimu wa red sea na suez canal, diego garcia, yemeni and somali insugency, usisahau cape oil route.....itakusaidia sana kuliko kuuliza maswali ya kitoto
 
Hapo ndipo utajua ulivyo na utoto kudhani bases zinawekwa kwenye nchi zenye rasilimali. Kwamba Kenya haina rasilimali hivyo hawawezi kuwepo, ulikuwa umelala wakati unatype hivyo
 
Huyo ndio kijana anayeandaliwa kumrithi M7?
mtu chake zitto junior Richard
Muhoozi amepikwa kijeshi na huenda yupo tayari kuongoza Uganda.

Mtu yoyote eliepita pale Sandhurst (Uingereza) na pale US - Army Command na Senior military Command huyo pia ana ruhsa kuingia nchi hizo wakati wowote bila shida kwani hupewa kitambulisho maalum.

Maandalizi yake yalianza kitambo sana hivyo kwa Uingereza na US kutoa "go ahead" amrithi M7 haitakuwa shida..
 
Back
Top Bottom