Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Wakati wa vita baridi ilikuwa hivyo siyo sasa, maana Kenya hasa Nairobi ilitumika kama show point kuwa ubebari ni mzuri kuliko ujamaa kwa lengo la kuidhalilisha tz, kwa sasa hicho hakipo, USA kwa sasa interest yao ni natural resources, kenya ina nini?. shida ya wakenya bado mindset zao ni za kuabudu wakoloni na wazungu.Katika mahojiano VOA swahili amesikika mkenya mmoja akidai kuwa ukiichokoza kenya umemchokoza Biden na Europe kwa ujumla ni baada ya kijana wa mseveni kuandika kwenye tweeter utani wa kuivamia kenya. Naombeni ufafanuzi wa madai haya ya mkenya bandugu .
Huyo ndio kijana anayeandaliwa kumrithi M7?Shida ya mtoto wa mseveni ni upumbavu, anavyomwendesha baba yake anadhani anaweza akamwendesha kila mtu. N
Na kweli waganda watakua wamemchoka mtu tangu 84 mpaka leo kakomaa tu ikulu.during cold war ilikuwa hivyo siyo sasa, maana kenya hasa nairobi ilitumika kama show point kuwa ubebari ni mzuri kuliko ujamaa kwa lengo la kuidhalilisha tz, kwa sasa hicho hakipo, USA kwa sasa interest yao ni natural resources, kenya ina nini?. shida ya wakenya bado mindset zao ni za kuabudu wakoloni na wazungu.
Shida ya mtoto wa mseveni ni upumbavu, anavyomwendesha baba yake anadhani anaweza akamwendesha kila mtu. Nina uhakika hata Waganda wangetaka aichokoze kenya ili waganda waungane na wakenya kuitandika familia ya mseveni kama walivyoungana na Tanzania kumtandika Idd Amin
Waswahii wanasemaga, kimtokacho mtu mdomoni kimetoka moyoni.
Ndiyo, M7 anaandaa Idd Amin Junior
Museveni anabidi apumzike sasa amuachie mwanae kama anataka arithiwe. Tofauti na hapo akifa kisha harakati za urithi ndio zianze hapatakalika, huyo GMO General anadharauliwa na haungwi mkono kwa upuuzi wake. Angalau angekuwa anajielewa kama mtoto wa Idris Derby wa Chad ambaye alivyokufa kwenye operation ya kupambana na magaidi mwanae alimrithi, he is very capable hata kama urithi sio demokrasia. Sasa huyu dikteta alafu kilazaNdiyo, M7 anaandaa Idd Amin Junior
Kiongozi, pana ka ukweli kiasi fulani. Marekani hawaweki military base pasipo na maslahi.during cold war ilikuwa hivyo siyo sasa, maana kenya hasa nairobi ilitumika kama show point kuwa ubebari ni mzuri kuliko ujamaa kwa lengo la kuidhalilisha tz, kwa sasa hicho hakipo, USA kwa sasa interest yao ni natural resources, kenya ina nini?. shida ya wakenya bado mindset zao ni za kuabudu wakoloni na wazungu.
Shida ya mtoto wa mseveni ni upumbavu, anavyomwendesha baba yake anadhani anaweza akamwendesha kila mtu. Nina uhakika hata Waganda wangetaka aichokoze kenya ili waganda waungane na wakenya kuitandika familia ya mseveni kama walivyoungana na Tanzania kumtandika Idd Amin
Ukilaza nini kaka? Kwa tafsiri yako Au tafsiri sahihi?Museveni anabidi apumzike sasa amuachie mwanae kama anataka arithiwe. Tofauti na hapo akifa kisha harakati za urithi ndio zianze hapatakalika, huyo GMO General anadharauliwa na haungwi mkono kwa upuuzi wake. Angalau angekuwa anajielewa kama mtoto wa Idris Derby wa Chad ambaye alivyokufa kwenye operation ya kupambana na magaidi mwanae alimrithi, he is very capable hata kama urithi sio demokrasia. Sasa huyu dikteta alafu kilaza
Timing is everything. Mtu mzima anapoongea au kuandika kitu usiku, usikizingatie sana. Wakati mwingine anafanya hivyo akiwa amekwishameza 'ngumu kumesa'!Huyu kijana wa museven ni MPUMBAVU sana, huwezi ukatoa maneno ya namna hiyo.
Kenyata na huyo dogo ni marafiki sanaDuring cold war ilikuwa hivyo siyo sasa, maana Kenya hasa Nairobi ilitumika kama show point kuwa ubebari ni mzuri kuliko ujamaa kwa lengo la kuidhalilisha tz, kwa sasa hicho hakipo, USA kwa sasa interest yao ni natural resources, kenya ina nini?. shida ya wakenya bado mindset zao ni za kuabudu wakoloni na wazungu.
Shida ya mtoto wa Museveni ni upumbavu, anavyomwendesha baba yake anadhani anaweza akamwendesha kila mtu. Nina uhakika hata Waganda wangetaka aichokoze kenya ili waganda waungane na wakenya kuitandika familia ya mseveni kama walivyoungana na Tanzania kumtandika Idd Amin
Yaani 2024 (mwaka kesho kutwa) M7 atakuwa katimiza miaka 40 madarakani!!!!Na kweli waganda watakua wamemchoka mtu tangu 84 mpaka leo kakomaa tu ikulu.
Hata UK wana troops Kenya. Sio jambo la bure nakuunga mkonoKiongozi, pana ka ukweli kiasi fulani. Marekani hawaweki military base pasipo na maslahi.
Marekani kwa sasa anawekeza sana kijeshi Kenya. Pana jambo, si bure.