Ni ukweli kiasi gani kwamba ukiigusa Kenya umemgusa Biden na EU

Hata Tanzania tukitaka nyooshwa, wataitumia Kenya kutunyoosha
 
Nitakuuliza swali. Djibouti ambapo kuna military base kubwa ya Marekani barani Afrika, na largest foreign base ya China kuna rasilimali gani.

Sio kila muda nchi inatakiwa iwe na rasilimali. Nyingine zinatumika kama corridors kwenye ukanda fulani. Na sababu nyinginezo
 
Tafuta ujue kwa nini base iko Djibuti....unaporesearch tafute ujue umuhimu wa red sea na suez canal, diego garcia, yemeni and somali insugency, usisahau cape oil route.....itakusaidia sana kuliko kuuliza maswali ya kitoto
 
Tafuta ujue kwa nini base iko Djibuti....unaporesearch tafute ujue umuhimu wa red sea na suez canal, diego garcia, yemeni and somali insugency, usisahau cape oil route.....itakusaidia sana kuliko kuuliza maswali ya kitoto
Hapo ndipo utajua ulivyo na utoto kudhani bases zinawekwa kwenye nchi zenye rasilimali. Kwamba Kenya haina rasilimali hivyo hawawezi kuwepo, ulikuwa umelala wakati unatype hivyo
 
Huyo ndio kijana anayeandaliwa kumrithi M7?
mtu chake zitto junior Richard
Muhoozi amepikwa kijeshi na huenda yupo tayari kuongoza Uganda.

Mtu yoyote eliepita pale Sandhurst (Uingereza) na pale US - Army Command na Senior military Command huyo pia ana ruhsa kuingia nchi hizo wakati wowote bila shida kwani hupewa kitambulisho maalum.

Maandalizi yake yalianza kitambo sana hivyo kwa Uingereza na US kutoa "go ahead" amrithi M7 haitakuwa shida..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…