Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumbo likiuma sana kupita maelezo wakati unanjaa...lakini pale tu unapokula, haliumi tena. Hii hali inasabaishwa na nini?
Naombeni msaada wenu sababu inanitesa sana.
Tumbo likiuma sana kupita maelezo wakati unanjaa...lakini pale tu unapokula, haliumi tena. Hii hali inasabaishwa na nini?
Naombeni msaada wenu sababu inanitesa sana.
hayo madonda yanatibiwaje mkuu Nchaby
hayo madonda yanatibiwaje mkuu Nchaby
Cheki kipimo kwanza cha ENDOSCOPE ili kuthibitisha kama kweli ni madonda ya tumbo.
Kisha nenda clinic ya RAHABU LUBAGO Buguruni shell. Watu wengi wenye matatizo ya ulcers wamepona kabisa kwa kutumia dawa anayotoa dada huyo iitwayo Fitelawa.
Huko kwa Rahabu hakuna lolote we nijibu uko wapi?