Ni ulimbukeni kwenda sehemu za starehe (kula bata) siku za sikukuu

Ni ulimbukeni kwenda sehemu za starehe (kula bata) siku za sikukuu

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2022
Posts
1,215
Reaction score
3,035
Watanzania wengi baadhi yetu ni washamba wa starehe,hivi kwa akili yako kabisa unaweka pesa ili ukatumie siku ya sikukuu hizo ni akili za kitoto.

Siku za sikukuu ni za watoto au vijana wanao ishi kwa wazazi wao kwenda kuenjoy Mana ni siku yao ya kuwa free.

Ukiwa na mwanamke anawaza siku ya sikukuu avae Nini apendeze or aende kiwanja kipi kula Bata ujue una date na mtoto, uyo ni galasa bro bado hajakua piga chini.

Unaenda kumaliza hela nyingi kwenye starehe kwa usiku mmoja tu,siku ya pili unaamka una ata Mia eti kisa sikukuu huo ni ushamba.

Mtu mwenye akili yake hawezi fanya upumbavu Kama huo,siku ya sikukuu ni siku ya kurelax home au Kama unatoka unaenda sehemu zilizotulia ku refresh mind na unarud on time.

Maneno yangu sio sheria🙂

It's me Mo mp5 Said.
 
Back
Top Bottom