Ni Ulofa uliopitiliza kumfananisha huyu mrembo na Zari Mzee

Ni Ulofa uliopitiliza kumfananisha huyu mrembo na Zari Mzee

Mzuri Pesa urembo ni pambo tu.

Yaani Zari ana watoto kibao lakini bado anawanyima usingizi kwa uzuri wake! Hamjishtukii tu
 
Naona tmu Zari wamekuja juu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtoa Mada km ni mwanaume basi utakua umetuaibisha sana
 
Back
Top Bottom