Ni Umri Gani Matiti Yanafika Kikomo Cha Ukuaji?

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Kuna uwezekano matiti ya wanamke mwenye miaka 20 , yakaendelea kukua au ndo mwisho hapo? Jaman huyu mtu chuchu zake ndogo sana mpaka avae nguo nyepesi ndo utajua nae ana matiti.

Nauliza hivi kwa umri huo viungo vyake (matiti) yanaweza kukua? au kama kuna dawa ya miti shamba itakuwa poa maana inakuwa shida sana kwangu.
 
Mkuu umesema tutiti tusipoongezeka itakuwa 'shida sana' kwako. Shida gain kwani?
 
na wakati unaanza nae au wakati unamfutilia ulimuona anayo makubwa? mpaka sasa hayo madogo yakushangazee?
 
hahahahahahah wewe mshikaji huwa unanifurahisha sana... umekwisha wasiliana tayari na Dr wako au bado?
 
Mkuu umesema tutiti tusipoongezeka itakuwa 'shida sana' kwako. Shida gain kwani?

kwakweli shida niipatayo ni ngumu kuieleza ila kama ww ni mwanaume utakuwa unaijua shida ninayopata!
 
na wakati unaanza nae au wakati unamfutilia ulimuona anayo makubwa? mpaka sasa hayo madogo yakushangazee?

kwakweli kwa muonekano wa huyu binti.. nilizani atakuwa na miaka 18 hivyo sikuwa na shaka lakini jingine ni kuwa nilimuhesabu kama wa kuzugia
lakn sasa tumepanga kuoana hapo mbelen, ila kila nikikuna kichwa kuhusu hutu tutiti twake...najijua lazima nitakuwa mchepukaj hatari sana lasivyo nitaishi nae bora liende
NAWASILISHA
 
Last edited by a moderator:
kama kuyaboost mpaka mimba!....iatakuwa baadae sana !!
Ila si yatalala mkuu?....mi nataka yawe dede full ujazo kama hawa wadada wa POSTA
hahahahahahahah kwani umekwisha mshirikisha kwamba unataka kuya boost matiti yake? au umemwambia unamtafutia dawa au umejuaje kama yeye hajaridhika alivyo?
 
hahahahahahahah kwani umekwisha mshirikisha kwamba unataka kuya boost matiti yake? au umemwambia unamtafutia dawa au umejuaje kama yeye hajaridhika alivyo?

mkuu mi ndo ugonjwa wangu huo , nashindwa kupata ile gred inayohitajika ya kuinjoy..hasa pindi nikikiwa kwa her breast yaani mrindimo wa zile sponjisponji sihufeel kabisa
najua nae anapenda kuwa na mzigo unaoonekana kama hawa wadada wa POSTA!
 
Duh! hahahahah sasa inamaana mara ya kwanza unamfuata haukujua kama hana mzigo kama wale wadada wa POSTA? au kwanini hukuwafuata wale wadada wa POSTA? Basi kama vipi fanya zoezi la kuwa unayapiga matouch na kuyanyonya nyonya kwa sana huenda yakakua yakawa kama ya wadada wa POSTA... au wewe unahitaji dawa za kichina?
 
Mkuu umesema tutiti tusipoongezeka itakuwa 'shida sana' kwako. Shida gain kwani?

Labda anakapenda kabinti kana shepu nzuri, tabia nzuri mguu wa bia ila tutiti tudogo tunamsumbua...
 
kama kuyaboost mpaka mimba!....iatakuwa baadae sana !!
Ila si yatalala mkuu?....mi nataka yawe dede full ujazo kama hawa wadada wa POSTA

Pesa yako tu kuyabustisha.. Kama una million 10 kwa kuanzia. Nenda uturuki wanaweka bandia
 
Ha ha ha, majigo una visa vya madenge kwa kweli.
Leo imekuwa tutiti tena? Aweke silcon, ila ndo bei na mikansa.

Ridhika naye tu.
 
mkuu mi ndo ugonjwa wangu huo , nashindwa kupata ile gred inayohitajika ya kuinjoy..hasa pindi nikikiwa kwa her breast yaani mrindimo wa zile sponjisponji sihufeel kabisa
najua nae anapenda kuwa na mzigo unaoonekana kama hawa wadada wa POSTA!

Pia uwe unayayonya sana kila siku tu na kuyamasajimasaji. Hata kama hutaki kupiga bao jitahidi kila unapokuwa unayanya kwa nguvu zote inasaidia
 
nilitaka awe wa kuzugia ila naona kanifit vya kutosha kwenye vigezo vyote yumo..ila shida ni hizo sponji mkuu!
Mi nataka dawa za miti shamba
 
Pesa yako tu kuyabustisha.. Kama una million 10 kwa kuanzia. Nenda uturuki wanaweka bandia

mkuu Chebe17 ahsante ila naomba kama kuna miti shamba ndo poa zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…