Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Kuna uwezekano matiti ya wanamke mwenye miaka 20 , yakaendelea kukua au ndo mwisho hapo? Jaman huyu mtu chuchu zake ndogo sana mpaka avae nguo nyepesi ndo utajua nae ana matiti.
Nauliza hivi kwa umri huo viungo vyake (matiti) yanaweza kukua? au kama kuna dawa ya miti shamba itakuwa poa maana inakuwa shida sana kwangu.
Nauliza hivi kwa umri huo viungo vyake (matiti) yanaweza kukua? au kama kuna dawa ya miti shamba itakuwa poa maana inakuwa shida sana kwangu.