Ni Umri Gani Mwafaka Wa Kumfanyia Mtoto Tohara?

Duh! Mi niliganda nalo hadi namaliza shule ya msingi wala halijawahi kuniletea madhara yoyote
 
Kwa faida ya wanajamvi.
Kwa kawaida mtoto akizaliwa tu kama hana tatizo lolote la kiafya inashauriwa kumtahiri baada ya Massa 24 hadi siku 60 or 8wks
Faida mojawapo za Kumfanyia tohara mapema ni kama vile;

kidonda kupona haraka (ndani ya siku 7-14)baada ya kufanyiwa

Maumivu yake yatakua kidogo au kw muda mfupi tofauti na mtoto aliye kua

Ni rahisi kumfanyika pia damu inakua kidogo au isiwepo kabisa kulinganisha na mtotot aliekua kwa sababu mishipa ya damu bado haijakomaa na kua mingi .

Mtoto haitaji kushonwa nyuzi yoyote tofauti na aliye fikisha miezi mingi.

Ni rahisi sana kwa mama kumshika na kumuhudumia baada ya procedure

Inaepusha sana magonjwa ya UTI kwa mtoto

Mda mzuri wataalaam wanashauri mpaka mtoto anafikisha miaka miwili ni vizuri zaidi akafanyiwa circumcision.!

Lakini kw ushauri zaidi jaribu kumpeleka mwanao Hosp wao watakueleza vzuri maana bado mtoto yupo kwene umzuri.!

Zipo faida nyingi kupita maelezo
 
mie mwanangu sitamfanyia tohara,labda atajifanyia mwenyewe akikua
 
Kwa hiyo Mkuu unashauri nisubiri akue kwanza?wasiwasi wangu anaweza kudanganywa nikapata amekata dudu yake kama alivyosema jana
Habari yako mkuu, ushauri wangu ni kwamba kumfanyia tohara mapema ni bora zaidi,
Sababu utamwepusha na maambukizi hatokawia kupona na pia siku hizi jambo la maumivu limepungua sana kutokana na ukuaji wa teknolojia ya kitabibu.
 
Upo sahihi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…