Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
😂😂😂 tiba za nguvu si zipoNi ile siku dushe imeshindwa kufanya kazi, ila siku ikisimama tu ni Ruksa kuchepuka
Tatizo ipo siku atagundua ulikuwa unachepuka, hapo itakuwaje mkuu?Fanya Yote Ila Hakikisha Una Mpa Heshima Yake Mkeo Kwa 100%.
Tatizo macho yanakuwa yanatamaniUkianza kufanya mvi
Basi we ipe tiba, ikisimama tu nenda kachepuka, cha uzeeni ni kitamu kuliko ujanani[emoji23][emoji23][emoji23] tiba za nguvu si zipo
Sema na macho yakoTatizo macho yanakuwa yanatamani
HahhahahahahhahaNi ile siku dushe imeshindwa kufanya kazi, ila siku ikisimama tu ni Ruksa kuchepuka
Wewe bana weee.. kama Sulemani na akili zake zote alizopewa na Mungu bado alifeli kwenye hili eneo, we unaona kwa mtu wa kawaida kama mimi kuna jinsi naweza kukwepa?Yote hayo Mfalme Suleiman anasema ni upuuzi mtupu ni Kama kufukuza upepo maana Leo unazini na huyu kesho na mwingine Hadi kufa kwako , jiwekee limitations mwenyewe inawezekana kuishi bila kuchepuka
Tatizo kuna hawa warembo wachokozi, baadaye unajikuta umeanzisha uhusianoUkioa jipe hata ka mwaka tu kakutochepuka. Baada ya hapo endeleza libeneke ili kuimarisha ndoa