Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
- Thread starter
- #41
Ufafanuzi mkuuUkishapata akili timamu; ukishaanza kujielewa: note 3385887374847732774 save 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufafanuzi mkuuUkishapata akili timamu; ukishaanza kujielewa: note 3385887374847732774 save 1
Mmh vibaya hivyoEndeleeni kuchepuka mpk mpate stroke mtulie
Wanaopata stroke, walikuwa wanachepuka?Endeleeni kuchepuka mpk mpate stroke mtulie
Aah zile stress za kuhudumia mara huyu mara yule mara ka mchepuko kamzingue presha juuu unadhani stroke atakosaWanaopata stroke, walikuwa wanachepuka?
Umri sahihi wakuacha kuchepuka kwa mwanaume ni kuwa mzee ujiwezi,maana mwanaume ni jogoo anapoona mtetea lazima akimbize tu,ulishawahi kuona jogoo akimbizi mtetea?????Kuchepuka kwenye ndoa imekuwa ni jambo la kawaida kwa watu wengi; unakuta mwanaume ana mpenzi wa kando, pia mwanamke ni hivyo hivyo. Ingawa kwa asilimia kubwa, wanaume ndio wanaoongoza kuwa na michepuko mingi kuliko wanawake, na hii inatokana na kuvutiwa kwa hisia mbali mbali kutokana na warembo wanaokutana nao.
Wapo walioweza kupata watoto katika kuchepuka huko, na hatimaye kuweka mazingira ya kuwa na mchepuko wa kudumu.
Swali langu kwa leo, kutokana na mwili kuchoka pamoja na umri kusogea mbele; ni umri upi ni sahihi wa kuacha kuchepuka? Na kama mlipata watoto, ni nini kifanyike?
Japo K moja inachosha sana jamani, huu utaratibu wa wazungu(mke mmoja) ufanyiwe review.Aah zile stress za kuhudumia mara huyu mara yule mara ka mchepuko kamzingue presha juuu unadhani stroke atakosa
Kama michepuko iko mbali, hakuna shida,unakuwa hupokei simu zao; utapokea tu, pale utakapokuwa unamuhitajiAah zile stress za kuhudumia mara huyu mara yule mara ka mchepuko kamzingue presha juuu unadhani stroke atakosa
Mwanaume unatakiwa uwe na watoto kibao,alafu jitahidi kuzaa na wanawake wanaojiweza kimaisha,maana ataweA jihudumia yeye mwenyewe pasipo weweJapo K moja inachosha sana jamani, huu utaratibu wa wazungu(mke mmoja) ufanyiwe review.
Mimi siafiki kuzaa ovyo(na mwanamke zaidi ya mmoja). Naamini watoto wanakuwa huru na umoja unaongezeka wakiwa baba mmoja mama mmoja!Mwanaume unatakiwa uwe na watoto kibao,alafu jitahidi kuzaa na wanawake wanaojiweza kimaisha,maana ataweA jihudumia yeye mwenyewe pasipo wewe
Wazungu wanatudanganya sana,babu yangu mimi ana wake 7 kila mwanamke ana watoto 9 mwingine 11 aliye na watoto wadogo ni 5,lakini hakuna hata mtoto anapata tabu kila mmoja anaishi vinzuri,uzao wa sasa wazungu wanataka kuufupisha ebu jiulize mashoga wangapi wapo kwenye hiki kizazi chetu,hapo bado ujaangalia wanaosagana hivi kizazi cha badae kitatoka wapi???basi ikiwa kijana unajiweza vinzuri ni vyema ukawa na uzao mkubwa hata mwenyezi mungu alisema enendeni mukaujaze duniaMimi siafiki kuzaa ovyo(na mwanamke zaidi ya mmoja). Naamini watoto wanakuwa huru na umoja unaongezeka wakiwa baba mmoja mama mmoja!