Ni umri upi sahihi wa kuacha kuchepuka?

Mi nadhani miaka 55 inafaa, we unaonaje?
 
Kuna wengine wanakuteka kabisa kwa mambo ya jadi
Yaah ipo sana kikubwa angalia aina ya mchepuko. Sio tu kisa shombeshombe unakimbilia wakati unaona kabisa anamambo ya kiswahili. Maana huwa hawajifichi wenye hayo mambo ya kiswahili huwa wanaonekana na nirahisi kujua. Bora udate kisista duu kikuzingue ila kikuache salama kuliko mswahili shombeshombe anaekupa jicho,pua nk. kwa gharama ya familia
 
Miaka 70 ili yasikukute ya mzee machache
 
Kuchepuka ni tamaa tuu, hata ukiwa mzee wa miaka 100 ukikubali tamaa zikuendeshe utachepuka tuu, labda kama haidindi.
 
Hakunaga umri wa kuacha kuchepuka , niwewe tu kaumua kuiset mindset yako katika Utu na Uaminifu ,
 
Hahahahah siku ukiishiwa Hela
 
Umeoa kwanza mkuu michepuko mingi ya wanaume kwenye ndoa inasababishwa na wanawake maana michepuko kwa mwanaume ni gharama sana mmoja sawa ila wakiwa wengi hilo tatizo .
 
Ukishapata akili timamu; ukishaanza kujielewa: note 3385887374847732774 save 1
 
Yote hayo Mfalme Suleiman anasema ni upuuzi mtupu ni Kama kufukuza upepo maana Leo unazini na huyu kesho na mwingine Hadi kufa kwako , jiwekee limitations mwenyewe inawezekana kuishi bila kuchepuka
The best answer
 
Kwa sisi wanawake ndoa kama ina amani ngumu kuchepuka
Hamnaga amani nyie. Hata mkipewa kila kitu utaanza kuona uwepo wa mume ni kama kero unataka akuache uwe na mashosti wako. Mkipewa vichache mnaenda kutafuta nje.

So hapo usitudanganye. Ninyi wa sasa ni tatizo hamjatulia akili zenu mna mawenge kama paka aliyelambishwa pilipili na kupakwa upupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…