Ni umri upi sahihi wa kuacha kuchepuka?

Wanaume ma handsome tunarogwa sana na ke!!! wanajipitisha hatawaichana wadogo! cha kufanya wooote tuwe wachawi!
 
Umri sahihi wakuacha kuchepuka kwa mwanaume ni kuwa mzee ujiwezi,maana mwanaume ni jogoo anapoona mtetea lazima akimbize tu,ulishawahi kuona jogoo akimbizi mtetea?????
 
Aah zile stress za kuhudumia mara huyu mara yule mara ka mchepuko kamzingue presha juuu unadhani stroke atakosa
Japo K moja inachosha sana jamani, huu utaratibu wa wazungu(mke mmoja) ufanyiwe review.
 
Aah zile stress za kuhudumia mara huyu mara yule mara ka mchepuko kamzingue presha juuu unadhani stroke atakosa
Kama michepuko iko mbali, hakuna shida,unakuwa hupokei simu zao; utapokea tu, pale utakapokuwa unamuhitaji
 
Mimi siafiki kuzaa ovyo(na mwanamke zaidi ya mmoja). Naamini watoto wanakuwa huru na umoja unaongezeka wakiwa baba mmoja mama mmoja!
Wazungu wanatudanganya sana,babu yangu mimi ana wake 7 kila mwanamke ana watoto 9 mwingine 11 aliye na watoto wadogo ni 5,lakini hakuna hata mtoto anapata tabu kila mmoja anaishi vinzuri,uzao wa sasa wazungu wanataka kuufupisha ebu jiulize mashoga wangapi wapo kwenye hiki kizazi chetu,hapo bado ujaangalia wanaosagana hivi kizazi cha badae kitatoka wapi???basi ikiwa kijana unajiweza vinzuri ni vyema ukawa na uzao mkubwa hata mwenyezi mungu alisema enendeni mukaujaze dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…