Ni uoga au tatizo nini?

Ni uoga au tatizo nini?

GANA BANKS

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
608
Reaction score
872
Habari za wakati huu wana JF,

Samahani nitaenda haraka kidogo na kwa ufupi.

Niko Mubashara muda huu hapa kupitia TBC1 kuna mkutano wa hadhara unafanyaka jijini dar es saalam,kati ya Wafanyabishara na Mhe.Waziri mkuu Kassimu Majaliwa.

Niende kwenye hoja,hoja yangu ni mpka saaa nimemsikilia mzungumzaji wa nne ila sioni hoja ya msingi zaidi ya kuomba kupunguziwa kodi, ila hoja zingine wanazunguka tu,hawaendi moja kwa moja kwenye point. Je, ni uoga au hawakujipanga kuonga.

Kama ni uoga Mbona tayali Mhe.waziri mkuu ameshawahakikishia usalama wao? Eti kwa ambao mko live tatizo nini.

Ngoja nimskie huyu Muha mwenzangu naona kapanda hapa kapewa kipaza. Waha tuko real sana. Niombe radhi kwa muandiko m-baya. Naomba kuwasilisha.
 
Hawanga hoja.

Wapunguziwe Kodi za TRA..kwani Kodi za TRA Kariakoo zina tofauti na kwingineko?

Malalamiko ya fremu na ushuru wa takataka tra anahusikaje?
 
Back
Top Bottom