kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Those days nimeingia mjini daslamu kwa mara ya kwanza, nikakutana na manzi mmoja ambae leo ni miongoni mwa mademu fulani ambao wanaonekana kuwa maarufu hapo daslamu na ushamba wangu wa kutoka huko shinyanga nikajichanganya na demu tukawa tunaishi wote kama mke na mume.
Kumbe demu lishazalishwa mtoto limemuacha kwa mama ake,baada ya kujua hiyo issue likanidanganya eti baba wa mtoto alikufa kwenye ajali ya MV Nungwi kumbe zilikua fiksi tu.baada ya kujua demu ni muongo nikaondoka kimya kimya.
Saivi namuona tu kwenye mitandao eti nae kawa maarufu.
Ni uongo gani nawe umewahi kudanganywa na single mother au father?