Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Jirani yangu aliiba laini yangu akatukana wakuu wangu akiwemo mchungaji matusi makuu ikaonekana ni mimi ni Mungu tu alinitetea.
hahahahaha, nimecheka kwa nguvu sanaJirani yangu aliiba laini yangu akatukana wakuu wangu akiwemo mchungaji matusi makuu ikaonekana ni mimi ni Mungu tu alinitetea.
Daah inasikitisha sana, ni ngumu sana kujitetea mpaka uelewekeJirani yangu aliiba laini yangu akatukana wakuu wangu akiwemo mchungaji matusi makuu ikaonekana ni mimi ni Mungu tu alinitetea.
Sipati picha. Ila nimecheka sanaJirani yangu aliiba laini yangu akatukana wakuu wangu akiwemo mchungaji matusi makuu ikaonekana ni mimi ni Mungu tu alinitetea.
Sikumbuki. Nikikumbuka tu ntaleta scriptKuna visa fulani hivi mtu anakusingizia jambo la uongo kabisa na akalitengeneza linaonekana kweli kabisa kwa upande wa pili na kuleta mtafaruku mkubwa unafikia hatua ya kuharibu hata Undugu Kazi, Ndoa, ama Urafiki kabiaa.
Kipi kisa Chako? Ni kwa namna gani au ukubwa upi kimekuharibia katika maisha yako?