Teleskopu
JF-Expert Member
- May 5, 2017
- 702
- 767
Tutazidi kujaribu kufungua macho ya kila anayependa uzima.
Ni kazi ngumu lakini sasa ufanyeje?
Hata nikifanikiwa mmoja, si mbaya.
Hebu jiulize, kwani wanaficha nini?
Hilo swali tu linatosha kukupa wasiwasi wote unaohitajika.
Dawa zote zenye maboksi lazima ukute karatasi ndani ambayo imeandikwa mambo kadhaa:
Mfano:
Sasa unaniletea dawa, tena mpya, na ndani umeweka karatasi paaana kama kapeti.
Halafu hujaandika chochote.
Kwani unaficha nini?
Hata hivyo, hilo halinishangazi hasa ninapotambua kuwa wewe ni mwovu na mwenye nia mbaya.
Kinachonishangaza ni kwamba umati wa kutosha bado unakuamini.
Hapo tu.
Ee Mungu tusaidie.

- dosage
- phamacokynetic
- indication
- contraindication
- nk, nk